Na. WAF - Washington USA. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeingia makubaliano na Serikali ya Marekani juu ya uboreshaji... Soma Zaidi
Habari
Na. WAF – Dar es Salaam Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema lengo la kuwepo na Mifuko ya Bima ya Afya ni wananchi kuchangiana gharama za matibabu kabla ya kuugua ili ... Soma Zaidi
Na WAF, Newyork USA Ili tuweze kuutokomeza ugonjwa wa malaria, tunahitaji rasilimali zaidi na uwajibikaji wenye kuleta matokeo chanya kwenye mapambano dhidi ya malaria. ... Soma Zaidi
Na. WAF, Kibaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya afya kwa kupunguza Rufaa za nje ya nchi kwa asilimia ... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa rai kwa Jumuiya za Kimataifa kushirikiana na Serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa kuongeza nguvu zaidi ya mapambano dhidi ya ... Soma Zaidi
Na. WAF, Kibaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya afya kwa kupunguza Rufaa za nje ya nchi kwa asilimia ... Soma Zaidi
Na WAF - MBEYA Taasisi za kitafiti nchini zimetakiwa kutumia tafiti za kisayansi katika kupata taarifa sahihi na kufanya maamuzi ili kuimarisha na kuboresha huduma za afya nchini... Soma Zaidi
Serikali yaTanzania imejidhatiti kutekeleza malengo ya kufikisha huduma za afya kwa wote hadi ifikapo mwaka 2030. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu jana akiwa kw... Soma Zaidi
Na Mwandishi Wetu - MOI Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Ummy Mwalimu amepokea msaada wa vifaa tiba vya upasuaji kutoka... Soma Zaidi
Na WAF, Newyork USA. Serikali ya Tanzania imelitaka Shirika la Umoja wa Mataifa la kuweka usawa kwenye kuzuia, kujiandaa na kukabiliana na majanga yanayoendelea kutoka Duniani na... Soma Zaidi