Na WAF - GEITA Daktari Bingwa wa Magonjwa ya ndani wa Hospitali ya Rufaa Geita Dkt. Sabrina Kumlin amesema Kambi ya Madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi imestawisha utendaji wa kazi ... Soma Zaidi
Habari
Na WAF, DODOMA Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo im... Soma Zaidi
Na WAF, Dar Es Salaam. Mganga Mkuu wa Serikali wa Prof. Tumaini Nagu, ametoa rai kwa wataalamu wa sekta ya Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoa maoni yatakayosaidia Jum... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Wizara ya Afya imeanza utekelezaji wa huduma za kibingwa za Mkoba katika kambi sita kwenye mikoa sita Nchini hii ikiwa ni azma ya Serikali ya awamu ya sita kufikis... Soma Zaidi
Na WAF - Ruvuma Wananchi 3500 wenye shida na magonjwa mbalimbali wa Mkoa wa Ruvuma na maeneo ya jirani kunufaika huduma za Kibingwa na Ubingwa bobezi kutoka kwa Madaktari Bingwa n... Soma Zaidi
Na WAF - Morogoro Madaktari bingwa 56 wanatarajiwa kushiriki kutoa huduma za ubingwa na ubingwa bobezi kwa wananchi zaidi ya 2000 kutoka Mikoa ya Morogoro, Iringa, Singida, Dodoma... Soma Zaidi
Na WAF – Dodoma Serikali imeweka mikakati endelevu kuwafikia mabinti wenye umri wa miaka tisa hadi kuni na Nne wa Tanzania bara na visiwani ambao bado hawajapatiwa chanjo ya Sarat... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Serikali ya Tanzania na Misri ziliingia mkataba wa makubaliano kati ya Wizara ya Afya na Shirika la ALAMEDA Healthcare Group Oktoba, 2022 ili kushirikiana katika ... Soma Zaidi
Na WAF, GEITA Kambi ya madaktari bingwa wa mama Samia waliopo Geita imetajwa kuwa kichocheo cha utoaji wa huduma bora za matibabu katika mkoa wa Geita. Hayo yamesemwa leo Apr... Soma Zaidi
Serikali imepeleka vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi bilioni 3.8 kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita. ... Soma Zaidi