WAF Dar es Salaam Wadau wa maendeleo katika sekta ya afya wameahidi kuendelea kuchangia sekta ya hiyo wakati wa utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote. Akizungumza katika k... Soma Zaidi
Habari
Na WAF - ARUSHA Jumla ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia wapatao 49 wamepokelewa mkoani Arusha na uongozi wa mkoa huo kwa ajili ya kambi ya matibabu ya siku sita kwa wilaya zote saba za ... Soma Zaidi
Na WAF - Bugando, Mwanza Watanzania wametakiwa kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi ili kuepuka kupata magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani, kisukari na shinikizo la juu la damu kwa... Soma Zaidi
Na WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya na Wakala wa Maendeleo wa Umoja wa Afrika (AUDA NEPAD) wamesaini makubaliano ya ushirikiano kwenye maeneo matano ya afya ikiwa ni ... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Kamati za Kudumu za Bunge zinazohusika na masuala ya afya na elimu zimetoa rai kwa Serikali kupitia Wizara ya Afya kushirikiana na Wadau wa kisekta katika kuboresha mita... Soma Zaidi
Na WAF, DODOMA Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Oktoba 17, 2024 amekutana na Uongozi wa Chama cha Wauguzi na Ukunga Tanzania (TANNA) na kujadili mpango kazi wa utekelezaji wa hoj... Soma Zaidi
Na WAF -DODOMA Kamati ya Kudumu ya Bunge na Masuala ya Ukimwi chini ya Makamu Mwenyekiti wake Mhe. Bernadetha Mshashu imeyataka Mabaraza ya maabara na famasi kuzingatia ubora wa huduma ... Soma Zaidi
Jitihadi zinazochukuliwa na Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria (NMCP) kwa kushirikiana na OR-TAMISEMI na wadau wa Sekta zimechangia kupungua kwa kiwango cha maambuki... Soma Zaidi
Na WAF, DSM Serikali imesisitiza umuhimu wa sekta ya Umma na binafsi kushirikiana ili kuboresha huduma za matibabu ya saratani nchini. Wito huo umetolewa leo Oktoba 16, 2024 na Mga... Soma Zaidi
Na WAF - Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Aboubakar Kunenge amewasihi Madaktari Bingwa ambao wameweka kambi ya kutoa matibabu mkoani humo kuhakikisha ujuzi na uwezo wa ki... Soma Zaidi