Na Mwandishi Wetu, Tanga. Maabara mpya ya upimaji wa sampuli za UVIKO-19 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Bombo, Tanga itarahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka zaidi hivyo kuwa... Soma Zaidi
Habari
Na Englibert Kayombo, WAF – Dodoma. Serikali kuanza ujenzi wa Hospitali kubwa ya Taifa ya Mama na Mtoto Jijini Dodoma ikiwa ni juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika k... Soma Zaidi
RAIS SAMIA AWATAKA WAZAZI MKOA WA IRINGA KUONGEZA USIMAMIZI KATIKA MASUALA YA LISHE BORA KWA WATOTO.
Na ;Englibert Kayombo - WAF, Isimani, Iringa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi katika Mkoa wa Iringa kuongeza usimamizi katika masual... Soma Zaidi
Na Englibert Kayombo, WAF – Iringa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa @samia_suluhu_hassan ameendelea kuwataka Watanzania kujikinga dhidi ya Ugonjwa wa UVIKO-19... Soma Zaidi
Na Englibert Kayombo, WAF- Iringa. Kuanzia tarehe 15 Septemba huduma za uchunguzi na matibabu ya kibingwa kwa kutumia CT SCAN zitaanza kutolewa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa ... Soma Zaidi
Na Englibert Kayombo , WAF – Mafinga, Iringa. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali inajenga wodi za wagonjwa wa dharura 75 katika Halmashauri za Wilaya 75 nchini ... Soma Zaidi
Serikali imedharimia kuboresha utoaji wa huduma bora za afya kwa wananchi na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za matibabu hivyo watoa huduma za afya kupimwa utendaji kazi wao wa uto... Soma Zaidi
Na Englibert Kayombo – WAF, Njombe. Serikali kuendelea na ujenzi wa Kiwanda cha uzalishaji Dawa na Vifaa tiba kilichopo chini ya Bohari ya Dawa (MSD), Idoffi -Makambako. Kauli hiyo ime... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu amesema Serikali imedhamiria kupunguza gharama za matibabu nchini Tanzania na kwakuzingatia hayo itapunguza gharama za kumuona daktari. Waziri Umm... Soma Zaidi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyakazi waliopo Hospitalini kufanya kazi kwa juhudi na kuokoa Maisha ya watu ili kuwa na jamii yenye afya bora.... Soma Zaidi