Na WAF-Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kutumia shilingi bilioni 30 kuimarisha huduma za watoto wachanga kwenye hospitali 100 nchini kwa kujenga wodi maalum (NCU) z... Soma Zaidi
Habari
Na WAF -Pwani Mapema leo Juni 2, 2024 Jumapili saa kumi na moja jioni Madaktari Bingwa wa Rais Samia wameondoka uwanja wa Kimataifa wa Mwl. Nyerere Jijini Dar Es Salaam kuelekea k... Soma Zaidi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu mapema leo tarehe 31 Mei 2024 amepokea ugeni wa aliyekua Naibu Mwakilishi wa Shirika la UNICEF nchini Tanzania Bw. Ousmane Niang ambaye amefi... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Waganga wakuu wa Mikoa, Waganga Wakuu wa Wilaya Pamoja na waganga wafawidhi wa Hospitali kwa ngazi zote nchini kuzingat... Soma Zaidi
Na WAF - Mtwara. Timu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia wanaoendelea kutoa huduma za matibabu karibu na wananchi kwa sasa wamefanikiwa kumtoa uvimbe kwenye mfuko wa kızazi (Uterin... Soma Zaidi
Na WAF - Geneva, Uswisi Serikali ya Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania na Taasisi ya Global Fund kuendelea kushirikiana ili kutekeleza vipaumbele vya Serikali vinavyolenga kutokomeza... Soma Zaidi
Na WAF, Geneva Uswisi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya imeweka bayana mikakati na ubunifu unaofanyika kufikia malengo ya Afya kwa wote ifikapo... Soma Zaidi
Na WAF - Geneva, Uswisi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Dunia kwa sasa inapitia wakati mgumu kutokana na mabadiliko ya tabia nchi ambayo yanapelekea kuongezeka kwa magonj... Soma Zaidi
Na. WAF – Mtwara Wananchi zaidi ya 150 wa Wilaya ya Nanyamba Mkoani Mtwara, wamepatiwa huduma za matibabu ya kibingwa na madaktari bingwa wa Rais Samia katika siku mbili za mwazo ... Soma Zaidi
Na WAF, ARUSHA Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amewaasa makatibu wa Afya nchini kufanya kazi kwa kujiamini, Uadilifu na Ueledi kwa kuzingatia Miongozo na Kanuni na taratibu... Soma Zaidi