Na WAF- SINGIDA Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amesema, Serikali kupitia Wizara ya Afya na OR-TAMISEMI imelenga kupunguza vifo vya Wajawazito na watoto kupitia mikata... Soma Zaidi
Habari
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezindua mitambo wa hewa tiba ya Oksijeni wenye thamani ya bilioni 1.5 kwenye hospitali ya Benjamnin Mkapa iliyoko jijini Dodoma. Waziri Ummy amesema usimikaj... Soma Zaidi
Serikali ilitoa Shilingi Bilioni 263 ya fedha za ahueni ya UVIKO-19 ili kuboresha Hospitali za rufaa za mikoa kati ya fedha hizo hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma ilipewa kiasi cha bilion... Soma Zaidi
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road imetakiwa kutomrudisha mgonjwa yeyote wa Saratani nyumbani kwa sababu ya kutokuwa na pesa za matibabu. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya wakati ak... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu ameitaka Bodi mpya ya wadhamini katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road kusimamia ubora wa huduma zinazotolewa katika Taasisi hiyo pamoja na kuweka mf... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa au wanaopanga kupata watoto kula vyakula vyenye kuongeza madini ya ‘Folic’ ili kuongeza kinga ya kumkinga... Soma Zaidi
Juhudi za pamoja na Ubunifu baina ya Serikali na Sekta mtambuka zinahitajika ili kutokomeza Ugonjwa wa Malaria na Magonjwa yasiyopewa kipaumbele ifikapo mwaka 2030. Hayo yamesemwa leo na ... Soma Zaidi
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo Juni 23 2022 wamepitisha kwa kishindo mapendekezo ya Bima ya Afya kwa wote nchini. Wajumbe hao wamepitisha mapendekezo hayo kwenye semina ... Soma Zaidi
Na WAF - DOM Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya imelenga kufikia asilimia 70% ya watu waliochanja ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Dunia ... Soma Zaidi
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa kiasi cha Bilioni 4.4 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kutolea Huduma za Radiolojia, jengo la kufua hewa ya oksijeni pamoja na uboreshaji wa hu... Soma Zaidi