Na WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa takribani wagonjwa wapya wa Saratani 40,000 hugunduliwa kila mwaka na karibu jumla ya watu 27,000 wenye Sa... Soma Zaidi
Habari
Na WAF, GEITA Daktari wa Kinywa na Meno kutoka Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga Anord Joachim, amesema elimu duni na imani potofu kutoka kwa baadhi ya watu imekuwa kichoche... Soma Zaidi
Na WAF Madaktari Bingwa na Bobezi wa Rais Samia wanao kwenda na kauli mbiu imesemayo “Tumekufikia Karibu Tukuhudumie” wameanza kwa kufanya mambo makubwa kwa Mikoa ya Geita, Tanga,... Soma Zaidi
Moshi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amewataka Madaktari Bingwa nchini kukaa katika vituo vyao vya kazi walivyopangiwa ili kuwezesha wananchi kupata huduma za kibin... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Mhe. Oran Njeza ameahidi kupitia Kamati yake kuiunga mkono Wizara ya Afya kupitia Bohari ya Dawa (MSD) kwa kujenga maghala na viw... Soma Zaidi
Na WAF - GEITA Daktari Bingwa wa Magonjwa ya ndani wa Hospitali ya Rufaa Geita Dkt. Sabrina Kumlin amesema Kambi ya Madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi imestawisha utendaji wa kazi ... Soma Zaidi
Na WAF, DODOMA Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo im... Soma Zaidi
Na WAF, Dar Es Salaam. Mganga Mkuu wa Serikali wa Prof. Tumaini Nagu, ametoa rai kwa wataalamu wa sekta ya Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoa maoni yatakayosaidia Jum... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Wizara ya Afya imeanza utekelezaji wa huduma za kibingwa za Mkoba katika kambi sita kwenye mikoa sita Nchini hii ikiwa ni azma ya Serikali ya awamu ya sita kufikis... Soma Zaidi
Na WAF - Ruvuma Wananchi 3500 wenye shida na magonjwa mbalimbali wa Mkoa wa Ruvuma na maeneo ya jirani kunufaika huduma za Kibingwa na Ubingwa bobezi kutoka kwa Madaktari Bingwa n... Soma Zaidi