Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesisitiza kuzingatia matumizi sahihi na endelevu ya dawa za kufubaza Virusi vya UKIMWI (ARV) kwa watu wanaoishi na Virusi hivy... Soma Zaidi
Habari
Na. WAF - Dodoma Wizara ya Afya kwa Kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI hadi sasa imeweza kusambaza vifaa vya mtu kujipima mwenyewe maambukizi ya Virusi vya UKIMWI zaidi ya Mi... Soma Zaidi
Kongamano la Kimataifa la Sita la Magonjwa ya Ini Barani Afrika (COLDA) limezinduliwa jijini Dar es Salaam ambapo limekutanisha wataalamu wa magonjwa ya mfumo wa chakula na Ini, kutoka katik... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Wizara ya Afya kupitia Idara ya Tiba imetoa mafunzo ya ugonjwa wa Sikoseli kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Dodoma zaidi ya vyombo 40 kwa ajili ya kuwajenge... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea kushirikiana na wadau wa huduma za uchunguzi wa magonjwa kwa kuimarisha huduma za uchunguzi wa maabara, Vifaa-Ti... Soma Zaidi
Waziri Ummy amesema kipaumbele cha kwanza cha Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kupambana na magonjwa hatarishi na magonjwa ya mlipuko kwa kuwalinda watumishi wa afya. &nbs... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Tanzania ina jumla ya Madaktari Bingwa Wazalendo 2,469 ambao wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika wa fani mbalimbali za Udaktari Bingwa. Hayo y... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka watendaji ndani ya Sekta ya Afya kufanya kazi kwa ushirikiano na kuleta tija katika kuboresha ubora wa huduma za afya n... Soma Zaidi
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itaanzisha huduma ya upandikizaji Ini ifikapo mwaka 2025 ikiwa ni mwendelezo wa azma ya Serikali kuhakikisha kwam... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amewataka watumishi wa Wizara hiyo kuunganisha mawazo na nguvu zao ili kutatua kero za wananchi kwa kutoa huduma bora.... Soma Zaidi