Na. WAF - Tanga Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka vijana wenye rika balehe (hasa wasichana) kuepuka vishawishi kama chipsi na vingine ili kujikinga dhidi ya maa... Soma Zaidi

Na. WAF - Tanga Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka vijana wenye rika balehe (hasa wasichana) kuepuka vishawishi kama chipsi na vingine ili kujikinga dhidi ya maa... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameitaka Menejimenti ya Mfuko wa Bima ya Afya katika kipindi cha miezi mitatu ihakikishe inaboresha mif... Soma Zaidi
-Ongezeko la matumizi holela ya Dawa za Antibiotiki Na. WAF - Dodoma Usugu wa vimelea dhidi ya dawa mwilini (Antimicrobial resistance AMR) ni tishio kubwa la... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema magari ya Kliniki Tembezi (Mobile Clinic) yakatumike katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) hususan... Soma Zaidi
Na. WAF, D odoma Takribani watu Laki Mbili nchini wana ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) huku watoto Elfu Kumi na Moja (11,000) huzaliwa wakiwa na ugonjwa wa Selimundu unaohusis... Soma Zaidi
Na WAF, Tanga Naibu Katibu Mkuu wizara ya Afya Dkt Grace Magembe amewataka watumishi wa afya nchini kuwajibika kwa kufanya kazi kwa ufanisi na uwadilifu ili ili kutimiza malengo ya Serika... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Katika kuendeleza juhudi za uboreshaji huduma za Afya ya Uzazi Mama na Mtoto, Serikali kupitia Wizara ya Afya inatekeleza programu ya uboreshaji huduma hizo ujul... Soma Zaidi
Imeelezwa kuwa kasi ya maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI imepungua kutoka asilimia 7% mwaka 2003 hadi kufikia asilimia 4.3% mwaka 2022. Hayo yamesemwa na Naibu Kati... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Uongozi wa Kituo cha Umahiri na Ubobezi wa Kimatibabu ‘Apollo Hospitali’ kilichopo nchini India umeanza kutathmini eneo itakapojenga Hospitali jijini Dar ... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 5 katika mwaka wa fedha 2023/2024, kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Hospitali ya Kanda ya Magharibi ambapo ujenzi utaanz... Soma Zaidi