Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke(TRRH) imezindua rasmi jengo la Huduma za Usafishaji Damu kwa wagonjwa wa figo, pamoja na gari la dharura maalumu kwa ajili ya mama na mtoto. Uzin... Soma Zaidi
Habari
NA WAF, Kilimanjaro Viongozi wa Kata na Wahudumu wa afya ngazi ya jamii, wapatao 170 wamepatiwa elimu ya kujikinga na maradhi ili kuisaidia jamii kuepukana na maradhi mtambuka na ... Soma Zaidi
Na WAF Dodoma Wizara ya Afya imekuwa moja ya Wizara iliyofanya vizuri kwenye Maonesho ya Nanenane 2024 kwa kuhudumia wananchi zaidi 14,000 waliojitokeza katika Mabanda ya wizara h... Soma Zaidi
NA WAF, Kilimanjaro Serikali kupitia wizara ya afya imepunguza rufaa za nje ya nchi kwa asilimia 97 ikiwa ni matokeo ya uwekezaji uliofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya ... Soma Zaidi
Na WAF - Ethiopia Mawaziri wa Afya wa nchi za Afrika wanatarajiwa kukutana kwa dharura kabla ya mwisho wa mwezi Agosti kujadiliana, kupitisha mikakati pamoja na kuchukua hatua za ... Soma Zaidi
Na WAF, DODOMA Wizara ya Afya imetwaa Tuzo ya Wizara Mtambuka kwa kushika nafasi ya Tatu katika Maonesho Kimataifa ya Nane Nane 2024 Jijini Dodoma. Tuz... Soma Zaidi
Na WAF - DODOMA Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ameitaka Hospitali ya Kanda ya Kati ya Benjamini Mkapa kuendelea kuboresha zaidi hali ya utoaji na... Soma Zaidi
-Matunda ya kampeni ya Madaktari bingwa wa Rais Samia Na WAF - Dar Es Salaam Kampeni ya Madatari Bingwa wa Rais Samia iliyofika kwenye Hospitali zote... Soma Zaidi
Addis Ababa - Ethiopia Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Agosti 8, 2024 ameongoza kikao cha Kamati Mahususi ya Kitaalamu ya Mawaziri wanachama wa Umoja wa Afrika (AU)... Soma Zaidi
Na WAF – Dodoma Waajiri katika sekta rasmi na zisizo rasmi wamehimizwa kuwawekea mazingira rafiki wanawake wenye watoto ili waweze kunyonyesha watoto wao katika... Soma Zaidi