Na.WAF, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imezindua kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Surua Rubella ambapo kwa nchi nzima wanatarajia kuwafikia watoto 8,908,810 wenye umri chin... Soma Zaidi
Habari
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imefanya upasuaji wa kuweka mlango wa bandia kwenye moyo, hivyo kuwa Hospitali ya pili nchini kuanzisha huduma hiyo. Daktari Bingwa wa Upasuaji wa M... Soma Zaidi
Wananchi wameaswa kubadilisha mtindo wa maisha ili kuwa na afya njema na kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhim... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo imebainisha vipaumbele Sita vya kisera katika Sekta ya Afya ambavyo vitawekewa mkazo zaidi katika kutekelezwa kwa mwa... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itarejea upya na kufanya maboresho ya ada za leseni za madaktari chini ya Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) ... Soma Zaidi
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imefanya uchunguzi wa moyo kwa mgonjwa kwa kutumia mshipa wa mkono kwa mara ya kwanza. Kwa mujibu wa Mkuu wa kitengo cha maabara maalum ya uchung... Soma Zaidi
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewataka wasomi nchini kubadili fikra zao kwa kutumia akili vumbuzi na sio akili kibarua ili kulisaidia taifa kusonga mbele kwa maendeleo. ... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kuanzia Mwaka wa Fedha 2024/25 kuwalipa waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya msingi nchini posh... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka waganga wafawidhi kusimamia ubora wa huduma za Afya zinazotolewa katika vituo vya Afya nchini ikiwa ni pamoja na kuanzi... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japani JICA limeitaja Tanzania kama mfano wa kuigwa kwa nchi za Afrika na Duniani kwa ujumla katika mapambano ya kupunguza vif... Soma Zaidi