Serikali imesema haikusudii kufuta Kliniki za Kibingwa (Polyclinics) zilizopo nchini bali inapitia vigezo vya kuwa na Polyclinics ambazo hivi karibuni zimeibuka kliniki nyingi ambazo zimekuw... Soma Zaidi
Habari
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kuchanja chanjo dhidi ya UVIKO-19 ili Tanzania iwe na watu wengi waliochanja na kupata Kinga ya Jamii dhidi ya UVIKO-19. ... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amewatembelea Watoto Mapacha Rehema na Neema waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Waziri Ummy amefurahishw... Soma Zaidi
Katika Mikakati ya kuboresha ubora wa huduma za uzazi, mama na mtoto Serikali kupitia Wizara ya Afya iko mbioni kuanzisha Idara ya Huduma za Uzazi, Mama na Mtoto Wizarani. Hayo yamesemwa ... Soma Zaidi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuwekeza zaidi katika kutoa huduma za dharura na kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi kwa akina... Soma Zaidi
Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imeanza kuandaa sampuli kwa ajili ya kupima ubora wa majibu yanayopimwa kwa magonjwa ili kuweza kuweza kutoa huduma za matibabu sahii kupit... Soma Zaidi
Mtandao wa Wabunge Vinara wa Mapambano dhidi ya Kifua Kikuu wametakiwa kuendelea kutoa elimu kuhusu ugonjwa huo wanaporudi majimboni Hayo yamesemwa na Naibu Mwenyekiti Mhe. Sebastian Kapu... Soma Zaidi
Serikali kupitia Wizara ya afya imetenga billion 8 kusomesha watalaamu wa afya, ndani na nje ya nchi , katika fani mbalimbali za kibingwa ikiwemo upasuaji wa watoto. Hayo yamesemwa leo na... Soma Zaidi
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kuandika historia baada ya kut... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema Wizara ya Afya imesitisha matumizi ya fomu ya Bima ya Afya (NHIF) ya kununulia dawa nje ya kituo cha kutolea huduma za afya (FORM 2C) kwa Hospi... Soma Zaidi