Na.Catherine Sungura-Siha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango ameitaka Wizara ya Afya kuendelea kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji wa mwenendo... Soma Zaidi
Habari
Na.WAF-Manyara Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Sightsavers Tanzania pamoja na Shirika la Helen Keller International kwa pamoja wamezindua mradi wa... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Wagonjwa 13 wamegundulika kuwa na ugonjwa usiofahamika katika kijiji cha Mbekenyera Halmashauri ya Ruangwa mkoani Lindi na watatu kati yao wamefariki. Akitoa taa... Soma Zaidi
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameutaka Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mkoani Kilimanjaro kujitazama upya katika usimamizi na uwajibikaji wa utekelezaji wa ujenzi wa ... Soma Zaidi
Serikali imesema haikusudii kufuta Kliniki za Kibingwa (Polyclinics) zilizopo nchini bali inapitia vigezo vya kuwa na Polyclinics ambazo hivi karibuni zimeibuka kliniki nyingi ambazo zimekuw... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kuchanja chanjo dhidi ya UVIKO-19 ili Tanzania iwe na watu wengi waliochanja na kupata Kinga ya Jamii dhidi ya UVIKO-19. ... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amewatembelea Watoto Mapacha Rehema na Neema waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Waziri Ummy amefurahishw... Soma Zaidi
Katika Mikakati ya kuboresha ubora wa huduma za uzazi, mama na mtoto Serikali kupitia Wizara ya Afya iko mbioni kuanzisha Idara ya Huduma za Uzazi, Mama na Mtoto Wizarani. Hayo yamesemwa ... Soma Zaidi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuwekeza zaidi katika kutoa huduma za dharura na kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi kwa akina... Soma Zaidi
Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imeanza kuandaa sampuli kwa ajili ya kupima ubora wa majibu yanayopimwa kwa magonjwa ili kuweza kuweza kutoa huduma za matibabu sahii kupit... Soma Zaidi