Hadi kufikia tarehe 18 Julai, 2022 jumla ya wananchi milioni 11.5 sawa na asilimia 37 ya watu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea wamepata chanjo kamili ya UVIKO-19 hapa nchini. Hayo ya... Soma Zaidi
Habari
Viongozi wa Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha wananchi kufanya usafi wa mazingira kwenye maeneo yao pamoja na kufukia madimbwi yote ili kuteketeza m... Soma Zaidi
Na.Catherine Sungura,Siha Madaktari na watoa huduma wote nchini wametakiwa kuendelea kuwa wenye upendo, kujituma, kujitoa na kuzingatia weledi na maadili ya tasnia ya utabibu. Kaul... Soma Zaidi
Tanzania ni kati ya nchi tano Afrika na ni nchi pekee Afrika Mashariki inayozalisha mionzi dawa. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Gwodin Mollel wakati wa u... Soma Zaidi
Na.Catherine Sungura,Siha Kukamilika kwa Maabara ya Afya ya Jamii ngazi ya 3 ya usalama iliyoko kwenye hospitali maalumu ya magonjwa Ambukizi-Kibong'oto Itachangia katika udhibiti wa ku... Soma Zaidi
Na. Catherine Sungura, Siha Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amemuahidi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Phillip Mpango kuwa Maabara ya afya ya jamii ya Kibong'oto... Soma Zaidi
Na.Catherine Sungura-Siha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango ameitaka Wizara ya Afya kuendelea kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji wa mwenendo... Soma Zaidi
Na.WAF-Manyara Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Sightsavers Tanzania pamoja na Shirika la Helen Keller International kwa pamoja wamezindua mradi wa... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Wagonjwa 13 wamegundulika kuwa na ugonjwa usiofahamika katika kijiji cha Mbekenyera Halmashauri ya Ruangwa mkoani Lindi na watatu kati yao wamefariki. Akitoa taa... Soma Zaidi
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameutaka Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mkoani Kilimanjaro kujitazama upya katika usimamizi na uwajibikaji wa utekelezaji wa ujenzi wa ... Soma Zaidi