Na WAF - DSM Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ameiasa timu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia wapatao 35 kuja na majibu ya kitafiti kutoka kwa wagonjwa watakayokuna na... Soma Zaidi
Habari
Na WAF - Mwanza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi kufanya mazoezi ili kuepuka tabia bwete inayosababisha kupata magonjwa yasiyoa... Soma Zaidi
Na WAF Pwani Madaktari Bingwa 55 wa fani mbalimbali wanatarajia kutoa huduma za matibabu ya kibingwa na bobezi kwa siku saba katika Halmashauri tisa (9) za mkoa wa Pwani. Hayo yame... Soma Zaidi
Na WAF - Morogoro Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima amewapokea Madaktari Bingwa 49 wa Rais Samia kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu kwa siku sita katika hospitali za halmasha... Soma Zaidi
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya mlipuko ikiwa ni pamoja na Mpox na Marburg. Akizungumza na wataalamu wa Afya wa Uwanja Ndege na Bandar... Soma Zaidi
Na WaF Dodoma Kambi ya matibabu ya kibingwa yenye jumla madaktari bingwa 27 wa kujitolea iliyoratibiwa na Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima (JAI) kwa kushiri... Soma Zaidi
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imesisitiza umuhimu wa kuzingatia usiri katika utoaji wa huduma kwa watu, hasa wenye Virusi vya Ukimwi (VVU), ili kuendelea kutimiza... Soma Zaidi
Na WAF - Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imendelea kushirikiana na wadau ili kutokomeza ugonjwa wa Saratani nchini ikiwemo utolewaji wa elimu pamoja na kuhimiza upatikanaj... Soma Zaidi
Na.WAF, Mlele Timu ya Madaktari bingwa wa Mama Samia iliopo Wilaya ya Mlele mkoani Katavi leo Oktoba 11, 2024 imetoa wito kwa Timu ya usimamizi wa shughuli za afya Wilaya ya Mlele (CHMT... Soma Zaidi
Na. WAF - Mpanda Wananchi zaidi ya 300 wamepata huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi kutoka kwa timu ya madaktari bingwa wa Samia katika kambi iliyowekwa Hospitali ya Manisp... Soma Zaidi