Na, WAF Arusha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila amesema Serikali inashirikiana na Sekta Binafsi na Mashirika ya Dini katika utoaji wa huduma za Afya kwa Wananchi iki... Soma Zaidi
Habari
Na WAF, MPWAPWA Wanachi wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wameshindwa kuzuia hisia zao mara baada ya kupokea huduma za kibingwa kutoka kwa Madaktari bingwa wa Rais Samia walioweka kambi ya... Soma Zaidi
Na. WAF Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wamekuwa na Mchango mkubwa katika utekelezaji wa Mipango mbalimbali ya Afya ikiwemo Mpango wa Taifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii, Malar... Soma Zaidi
Na WAF - Peramiho, Ruvuma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa shilingi Bilioni 40 kwa mwaka wa fedha 2023/24 ili kuendelea kuimarisha miundombinu ya miradi mbalimbali ikiwemo ya Sekt... Soma Zaidi
Na WAF - SINGIDA Timu ya Madaktari bingwa wa Rais Samia iliyoko Mkoani Singida imeombwa kwenda kuimarisha huduma kwa kutoa ujuzi kwa watumishi walioko katika vituo wanavyoenda ili kuwas... Soma Zaidi
Na WAF-DODOMA Jumla ya Madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wa Rais Samia wapatao 50 wamepokelewa mkoani Dodoma na Mkuu wa mkoa Mhe. Rosemary Senyamule na kuwataka kwenda kuwahudumia watan... Soma Zaidi
Na WAF - Manyara Wananchi wa Mkoa wa Mnyara wametakiwa kutumia fursa ya uwepo wa kambi ya siku sita ya matibabu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia kwa kufika katika hospitali zote za hal... Soma Zaidi
Na WAF – Mbeya Bohari ya Dawa (MSD) imeendelea kuimarisha ushirikiano na hospitali za rufaa nchini ili kuhakikisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa wakati ili kuboresha huduma za a... Soma Zaidi
Na WAF - Ruvuma, Songea Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songea itawezesha upatikanaji wa huduma za ubingwa bobezi ikiwemo huduma za magonjwa ya akina mama na uzazi, magonjwa ya ... Soma Zaidi
Na WAF- DSM. NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bw. ismail Rumatila ametoa wito kwa wananchi kufuata maelekezo sahihi ya Wataalamu wa dawa ili kuepuka changamoto ya usugu wa vimelea dhidi... Soma Zaidi