Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekutana na wana-jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza (Diaspora) katika mji wa London baada ya kuwasili Disemba 08, 2024 na kujadiliana... Soma Zaidi
Habari
Na WAF, Dodoma Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka Wizara ya Afya Dkt. Ahmad Makuwani amesema Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kuhakikisha kil... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma Serikali ya Tanzania imepokea ugeni wa wajumbe kutoka nchi 14 ukiongizwa na Shirika la kuthibiti magonjwa Afrika (CDC Afrika) kwa lengo la kujifunza namna Serikali ya Tan... Soma Zaidi
Na WAF, MOSHI Wananchi mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuchangamkia huduma za Kibingwa na Ubingwa Bobezi unaotolewa kwa siku tano kwa Kanda ya Kaskazini Kauli hiyo ya Mkuu wa mkoa am... Soma Zaidi
Na, WAF-Dodoma, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amewataka wafamasia nchini kuzingatia maadili ya taaluma yao na kuhakikisha dawa zinatolewa kwa kuf... Soma Zaidi
Na WAF, NJOMBE. Madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wapatao 32 wamewasili mkoani Njombe kwa kambi ya Siku tano (5) iliyoanza leo Desemba 2 hadi Desemba 6, 2024 katika Hospitali ya Rufaa y... Soma Zaidi
Na WAF, SUMBAWANGA Madaktari Bingwa 33 kutoka Kanda ya Magharibi wameweka kambi ya kutoa huduma za kibingwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga kwa ajili ya kuwahudumia wakazi ... Soma Zaidi
Na WAF, DSM Mkurugenzi msaidizi wa Magonjwa yasiyoambukizwa Dkt. Omary Ubuguyu amepongeza wadau wa mazoezi na vikundi vya Jogging kwa namna wanavyo hamasisha mapambano dhidi ya magonjwa... Soma Zaidi
Na WAF - Ruvuma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Phillip Mpango ameitaka jamii kuondona na dhana potofu ya unyanyapaa kwa watu wenye virusi vya UKIMWI. Dkt. M... Soma Zaidi
Na WAF - Ruvuma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema Serikali inatumia shilingi 400,000 kwa Mtanzania mwenye maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) kila mwaka ikiwa ni sawa na Shi... Soma Zaidi