Na WAF - Dar Es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga hatua kubwa katika Sekta ya Afya kwa kudhibiti VVU, TB na Malaria, mifumo ya Afya iliyostahimilivu na endelevu... Soma Zaidi
Habari
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeikabidhi Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii mashine mpya tatu za kisasa za kubaini anuwai za vinasaba vya vimelea (Next Generation Sequencers) H... Soma Zaidi
Na WAF- Dodoma Serikali imesema inaweka mikakati ambavyo itaweza kuiendeleza na kuhakikisha kuna takwimu na taarifa sahihi juu ya huduma za afya ya macho nchini  ... Soma Zaidi
Na WAF - DAR ES SALAAM Huduma za utengamao zimetajwa kuwa na mchango katika kuimarisha mfumo wa afya kwa kusaidia wagonjwa walio na majeraha pamoja na wenye magonjwa ya muda mref... Soma Zaidi
Na WAF - Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuhakikisha tija na ustawi wa wauguzi, madaktari na watumishi wote wa Sekta ya Afya kupata stahiki zao pamoja na... Soma Zaidi
NA WAF - DAR ES SALAAM Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ametoa wito kwa Makampuni,Taasisi, Mashirika na jamii kwa ujumla kushirikiana na Serikali kuboresha maeneo ya ku... Soma Zaidi
Na WAF - Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewezesha upatikanaji wa huduma za Ubingwa Bobezi zaidi ya 35 katika Hospitali... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema ili kuepuka magonjwa ya mlipuko ameitaka Idara ya Kinga Wizara ya Afya kuimarisha mpango mkakati wa kusimamia suala la... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenister Mhagama amelitaka Baraza la Madaktari Tanganyika kujipanga zaidi ili kuendana na kasi ya mabadiliko makubwa ndani ya Sekta ya Afya ya... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameitaka Idara ya Uuguzi na Ukunga kuongeza kasi ya utoaji wa huduma za uuguzi na ukunga pamoja na kufuatilia ubora wa k... Soma Zaidi