Na. HPS - MoH Watanzania wametakiwa kuendelea kuzingatia kanuni za afya ikiwa ni pamoja na kuyaweka mazingira katika hali ya usafi ili kujikinga na Magonjwa ya Mlipuko. Hayo yamese... Soma Zaidi
Habari
Na. WAF- Geneva, Uswisi Tanzania imeshiriki Mkutano Mkuu wa 76 wa Nchi Wanachama wa Shirika la Afya Duniani, ulioanza Tarehe 21 hadi 30 Mei 2023 kwa lengo la kufanya maamuzi ya kisera y... Soma Zaidi
Na WAF- Bungeni Dodoma NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amebainisha kuwa, asilimia 7 ya Watanzania wanaishi na ugonjwa wa figo nitoe na kutoa rai kwa wananchi kupima ugonjwa huo ... Soma Zaidi
Na WAF- Karatu. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameelekeza kutafutwa kwa watu wote wanaohusika na wizi wa vifaa tiba popote waliopo na hatua k... Soma Zaidi
WAZIRI wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu wananchi kwa kuweka wazi kuwa, mpaka sasa hakuna kifo chochote kilichothibitisha kusababishwa na ugonjwa wa UVIKO na kuwataka wananchi kuwa wat... Soma Zaidi
-lengo ni kupunguza asilimia 40 ya vifo Na WAF - Dodoma Serikali imefanya mapinduzi makubwa katika Sekta ya afya kwa kuweka mfumo madhubuti wa huduma za dharura na ajali kuanzia ng... Soma Zaidi
Na WAF- Dodoma. Katika kuunga mkono huduma za matibabu ya ubingwa bobezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongeza shilingi bilioni 5 kwenye bajeti... Soma Zaidi
Na WAF – Dodoma. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo amewasilisha hoja ya makadirio ya bajeti ya mapato na matumizi ya wizara ya Afya kwa mwaka 2023/2024 ya Shilingi Trilioni 1.2 katik... Soma Zaidi
Na. WAF-Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewaelekeza Waganga wakuu wa Mikoa na Halmashauri wasimamie kwa ukamilifu utoaji wa dawa za kidonge myeyuko cha Amoxicillin,Zinki na ORS... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeingia mkataba wa mashirikiano na Serikali ya Uingereza Katika sekta ya afya kupitia kwa Watanzania waishio Uingere... Soma Zaidi