Na WAF - Guinea Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu (Mb) ambae pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasilisha ujumbe kwa Rais wa Jamh... Soma Zaidi
Habari
Na WAF, KIGOMA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kuanza ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi wilaya ya Ujiji mkoani Kigom... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu (Mb) ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amewasilisha rasmi ujumbe maalum wa Rais Dkt Samia ... Soma Zaidi
Na WAF, DAR ES SALAAM Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, amesema baadhi ya wananchi waliohojiwa na tume inayotaya... Soma Zaidi
Na WAF, DSM Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu ameiasa tume inayopokea maoni kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa 2050 suala la Bima ya Afya kwa wote liwe kipaumbele ili kuzidi kubore... Soma Zaidi
Na WAF – Dodoma. Mkurugenzi wa Idara ya Tiba Dkt. Hemed Nyembea amesema mifumo ya Afya nchini inazitambua Hopitali za rufaa za mikoa kuwa kiunganishi kati ya hu... Soma Zaidi
. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu (Mb) amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Kupokea na Kujibu hoja za Wananchi cha Wizara ya Afya (Afya Call Centre 199) kwa lengo la kufuatilia uten... Soma Zaidi
Hospitali ya Taifa Muhimbili leo imefanikiwa kupata tuzo ya nafasi ya pili, mshindi wa jumla kwenye banda bora katika maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Sala... Soma Zaidi
Na WAF – DODOMA Serikali kupitia Wizara ya Afya, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Tasisi ya Health Service Executive (HSE)- Ireland z... Soma Zaidi
Utaratibu mpya wa kitaifa wa upimaji wa Virusi vya UKIMWI kwa vipimo vitatu ili kuthibisha kuwa mtu ana maambukizi ya VVU utasaidia kuongeza wigo wa upimaji wa VVU nchini. Hayo a... Soma Zaidi