Na WAF - Tunduma, Songwe Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amewataka watumishi wa afya kushirikiana kwa karibu katika utoaji wa huduma za afya ili kuendelea kutoa huduma ... Soma Zaidi
Habari
Na WAF, Namanga- Arusha Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amewataka wataalamu wa Afya nchini kuongeza kasi ya kutoa elimu ya ugonjwa wa Mpox ili wananchi waw... Soma Zaidi
Na WAF - Meatu Wakazi wa Wilaya ya Meatu wametakiwa kuboresha hali ya usafi wa vyoo na ndani ya siku saba kuwe na vyoo bora ili kudhibiti ugonjwa wa kipindupindu. Wito huo... Soma Zaidi
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Afya na masuala ya UKIMWI Mhe. Elibariki Kingu ameishauri Wizara ya Afya kuendelea kuisimamia Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kwa kuipatia mtaji wa Bilioni 561.5 i... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia wagonjwa wa nje wanaofika kupata huduma kwa masa... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Afya na masuala ya UKIMWI Mhe. Elibariki Kingu ameiagiza Wizara ya Afya kuendelea kutoa elimu hasa kwa kundi la vijana rik... Soma Zaidi
Zaidi ya watoto 400 wamenufaika na matibabu ya magonjwa ya moyo kupitia michango ya CRDB Bank Marathon katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Hayo yame... Soma Zaidi
Na WAF-DODOMA Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu ametoa taarifa ya mwenendo wa ugonjwa wa MPOX na kuwaondoa hofu watanzania kuhusu uwepo wa ugonjwa huo ... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Agosti 16, 2024 amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu. Shughuli ya makabidhiano ya ofis... Soma Zaidi
Na WAF – Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuhakikisha huduma za kibingwa za matibabu ya magonjwa mbalimbal... Soma Zaidi