Serikali yaTanzania imejidhatiti kutekeleza malengo ya kufikisha huduma za afya kwa wote hadi ifikapo mwaka 2030. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu jana akiwa kw... Soma Zaidi
Habari
Na Mwandishi Wetu - MOI Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Ummy Mwalimu amepokea msaada wa vifaa tiba vya upasuaji kutoka... Soma Zaidi
Na WAF, Newyork USA. Serikali ya Tanzania imelitaka Shirika la Umoja wa Mataifa la kuweka usawa kwenye kuzuia, kujiandaa na kukabiliana na majanga yanayoendelea kutoka Duniani na... Soma Zaidi
NA WAF, RUKWA Wananchi wamehimizwa kuzingatia kanuni za kujikinga na ugonjwa wa polio ili kuzuia maambukizi ya virusi vinavyosababisha ulemavu wa kudumu au kifo. Kaul... Soma Zaidi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewataka watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi kutunza vifaa vya kutolea huduma za afya kwa wananchi ... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Baada ya miaka Minne ya kukabiliana na ugonjwa wa UVIKO-19, Wizara ya Afya imechukua jukumu la kufanya zoezi la tathmini kwa namna ilivyokabiliana n... Soma Zaidi
Na. WAF, Mtwara Rais wa Jamhuri ya Muunganoi wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya miujiza katika sekta ya afya kwa kutoa zaidi ya shilingi Bilioni 24 kwa ajili ya ... Soma Zaidi
Na. WAF, Mtwara. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka watumishi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini kuhakikisha kuwa uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluh Hassa... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewawaasa Waandishi wa Habari kuwa mabalozi katika utoaji wa elimu ya umuhimu wa Chanjo ya Matone dhidi ya Ugonjwa wa P... Soma Zaidi
Na. Shaban Juma - Rukwa Watumishi wa Afya nchini wametakiwa kuzingatia ubora wa huduma za Afya katika Hospitali, Zahanati na Vituo vya Afya ili kuendelea kuboresha huduma za Afya... Soma Zaidi