Na. WAF, Tanga Wananchi zaidi ya 2,700 Mkoani Tanga na maeneo ya jirani wanufaika na kambi ya afya cheki kwa kupatiwa Huduma ya upimaji, ushauri wa afya na matibabu bila malipo ikiwa ni... Soma Zaidi
Habari
Na WAF - ZANZIBAR Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman amezindua Mpango wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto Tanzania wa miaka mi... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kujiimarisha katika utayari wa kukabiliana na Matukio ya dharura ya afya ya jamii, magonjwa ya mlipuko na Matukio... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema itaendelea kushirikiana na Shirika la USAID kutoka nchini Marekani kwa kutoa mafunzo ya uelewa kwa wahudumu wa afya ngazi ya msin... Soma Zaidi
Na E. Kayombo – WAF Tanga Wito umetolewa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kupima afya zao mara kwa mara ili kutambua hali zao kiafya mapema na kuepukana na maradhi ambayo yanaweza ku... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na kamati ya afya ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejadili afua za kutokomeza Malaria ifikapo Mwaka 2030 ili... Soma Zaidi
Na WAF – DSM Serikali ya Tanzania imeonekana kupiga hatua katika kukabiliana na dharura za kiafya pamoja na magonjwa ya milipuko kutoka asilimia 48 mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 63 m... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim, Mbarali Wananchi wa Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwasogezea huduma za upasuaj... Soma Zaidi
WAZIRI wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha maeneo ambayo yamelengwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya watoto (UNICEF) ili kuboresha Sekta ya Afya nch... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo ameitaka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuongeza nguvu ya kudhibiti bidh... Soma Zaidi