Na. Majid Abdulkarim , Tumbi- Pwani Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesisitiza Hospitali zote za Rufaa nchini kuhakikisha zinakuwa na mfumo rasmi ambao unajulikana kwa wanachi... Soma Zaidi
Habari
Na. Majid Abdulkarim, Dodoma Waganga wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa nchini wametakiwa kuhakikisha wanabainisha vipaumbele vya Taasisi zao kulingana na vipaumbele vya sekta ya ... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Januari 5, 2023 amezindua usambazaji wa Vifaa Tiba (nje ya vilivyopangwa kununuliwa kwenye Bajeti ya 2023/24) vitakavy... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma. Serikali imewataka waganga na wadau wa tiba Asili nchini kusajili dawa wanazotengeneza ili ziingizwe katika mfumo wa hospitali na kuongeza masoko ya huduma jumuishi za ... Soma Zaidi
Na. WAF - Arusha Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameagiza Hospitali zote za Rufaa za Mikoa nchini kujengwa miundombinu yake kwa kufuata ‘master plan’ na kuacha kujenga majengo madogo y... Soma Zaidi
Na. WAF - Arusha Katika kuendelea kuboresha Sekta ya Afya nchini, Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezindua maabara ya Patholojia iliyopo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mo... Soma Zaidi
Na. WAF - Hanang, Manyara Serikali kupitia Wizara ya Afya kujenga kituo kipya cha Afya katika Kijiji cha Gendabi Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara ili kusaidia upatikanaji wa hudum... Soma Zaidi
Na. Mwandishi wetu - Tanga Taasisi ya Doris Mollel Foundation kwa kushirikiana na Msanii Barnabas leo Disemba 22,2023 imetoa Vifaa Tiba kwa ajili ya kuanzisha Wodi ya Watoto Wacha... Soma Zaidi
Serikali chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imetenga kiasi cha shilingi trilioni 6.7 kwaajili ya kuboresha huduma za afya ikiwa ni pamoja na kusomesha wataalamu n... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameitaka Taasisi ya Saratani Ocean Road hadi kufikia Fubruari Mosi, 2024 mashine ya Pet-CT Scan iwe ... Soma Zaidi