Na WAF – Musoma, Mara Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Alfred amewataka watoa Huduma na Wataalamu wa Afya wa Mkoa huo kushirikiana kwa ukaribu na Madaktar... Soma Zaidi
Habari
. Na WAF - Geita Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita Ndugu Herman P. Matemu, ametoa rai kwa watumishi wa Hospitali za kila Halmashauri za mkoa huo kutumia fursa ya kujengewa uwezo... Soma Zaidi
Na WAF, Longido- Arusha Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, ameziagiza Timu za Afya za mkoa na wilaya kutoa kipaumbele katika kuwapatia makaazi watumishi wa Wilaya ... Soma Zaidi
Na WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Tanzania itaendelea kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya Muungano wa Viongozi wa Bara la Afrika kat... Soma Zaidi
Na WAF - Chunya, Mbeya Wagonjwa zaidi ya 100 wamefanyiwa upasuaji wa mtoto wa jicho kupitia Kambi ya siku saba ya Madaktari Bingwa wa Macho iliyowekwa katika hospitali ya Rufaa ya Wi... Soma Zaidi
Na WAF, SIMIYU Jamii mkoani Simiyu wameombwa kuacha kuishi kwa kubashiri juu ya afya zao na badala yake waende kwa wataalam wa afya kwa uchunguzi na matibabu. Wakiongea kweny... Soma Zaidi
Na WAF - ARUSHA Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezindua bodi mpya ya usimamizi wa kampuni tanzu ya 'MSD MEDPHARM' pamoja na kampuni tanzu ya 'MSD Medipharm Manufacturing Compan Lt... Soma Zaidi
Ameishi na Uvimbe kwa zaidi ya miaka 20 Na WAF, KWIMBA BI Shamizi Mwanamalunde Mganga wa tiba asili, mkaazi , wilayani Kwimba mkoani Mwanza amefanyiwa upasua... Soma Zaidi
Na WAF - SHINYANGA Uwepo wa Kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia Mkoani Shinyanga wenye lengo la kusogeza huduma za kibingwa karibu na wananchi hasa ngazi ya afya ya ... Soma Zaidi
Na WAF - Arusha Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuacha matumizi holela holela ya Dawa ili kuepuka usugu wa vimelea dhidi ya dawa hususani ... Soma Zaidi