Na Mwandishi Wetu, DSM MAKAMPUNI zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani, tayari yamethibitisha kushiriki katika maonyesho makubwa ya famasia yanayofahamika kama ‘Pharmatech Ea... Soma Zaidi
Habari
Na. Waf. Morogoro Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Urio Kusirye amewahimiza waganga wa Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kuzisajili dawa na vituo vyao katika Baraza la Tiba Asili... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Wizara ya Afya imeendelea na mpango mkakati wa kusambaza kingatiba kwa wananchi wote ili kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ikiwemo matende na ... Soma Zaidi
Na.Majid Abdulkarim,WAF-Tanga Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya imepata ufadhili wa Shilingi Bilioni 17 kutoka Mfuko wa Dunia wa Ufadhiliwa Huduma za Afya kwa ajili ya k... Soma Zaidi
Mkutano wa ushauri wa kitaalamu wa kutokomeza ugonjwa wa USUBI nchini umemalizika kwa kukubaliana na kushauriana mbinu zitakazo wezesha kutokomeza ugonjwa huo ifikapo mwaka 2030. Mku... Soma Zaidi
Na Englibert Kayombo WAF, Iringa. Serikali katika Mkoa wa Iringa imejipanga kuongeza hamasa ya uchanjaji na Elimu ya Chanjo dhidi ya UVIKO-19 ili kuwa na idadi ya watu wengi wenye... Soma Zaidi
Na.Majid Abdulkarim – WAF Matibabu ya Ugonjwa wa Fistula kwa sasa yanapatikana katika Hospital zote za Mikoa nchini ambapo awali matibabu hayo yalikuwa yakipatika katika Hospitali... Soma Zaidi
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema uwekezaji wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kuimarisha huduma za afya umezifanya nchi Jirani kuendelea kuja nchini kujifunza namna amba... Soma Zaidi
Na Mwandishi Wetu,DSM WATAALAMU mbali mbali Wabobezi katika Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ya Usubi,Matende na Mabusha,Trakoma, Kichocho na Minyoo (NTDs), wamekutana Dar ... Soma Zaidi
Na Englibert Kayombo WAF, Dar Es Salaam. Waziri wa Afya Mhe. @UmmyMwalimu leo amekutana na kufanya mazungumzo na Wawekezaji kutoka India pamoja na Umoja wa Falme za Kiarabu (... Soma Zaidi