Wataalamu katika Idara ya ENT ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) wamefanikiwa kuitoa sarafu iliyokuwa imekwama kwenye koo la mtoto mdogo kwa siku sita. Daktari Bingwa wa Masikio... Soma Zaidi
Habari
Mkurugenzi wa huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais -TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amemuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kuivunja Timu ya uendeshaji wa huduma za Afya ya... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya Mwisho wa Mwezi wa Nne Mwaka 2024 kwa tar... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa kuanza kwa utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote itakuwa suluhu ya kudumu ya utekelezaji wa Sera ya wazee kupat... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea kuimarisha ubora wa huduma za Afya ya mama na mtoto katika vituo 25 vinavyotoa huduma ya upasuaji wa dharura wa ... Soma Zaidi
" Na WAF, DODOMA Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka waganga wafawidhi nchini na Watumishi ndani ya Sekta ya Afya kutokuwa kikwazo kwa wawekezaji wanaotaka kuwek... Soma Zaidi
Na: WAF, Shinyanga Mganga Mkuu wa Serikali Prof Tumaini Nagu amewahimiza watumishi sekta ya afya kuzingatia na kuweka kipaumbele cha usalama wa mgonjwa katika utoaji wa huduma na ... Soma Zaidi
Na WAF-DSM Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete amesema unyunyuziaji wa dawa kuuwa mazalia ya mbu, kutoa elimu kwa wananchi juu matumizi sahihi ya vyandarua pamo... Soma Zaidi
Na WAF-MWANZA Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amewataka wahudumu wa afya nchini kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuzingatia lugha zenye staha na kutoa hudum... Soma Zaidi
Na WAF - Musoma, Mara Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha fedha shilingi Bilioni 11 kwa mwaka wa fedha 2023/24 ili kuendeleza ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kumbuk... Soma Zaidi