Na Andrea Kadege, WAF – Arusha Wizara ya Afya imesema huduma imara za afya ya msingi ni nguzo muhimu ya kujenga mfumo wa afya unaostahimili changamoto, wenye usawa na endelevu, huku iki... Soma Zaidi
Na Andrea Kadege, WAF – Arusha Wizara ya Afya imesema huduma imara za afya ya msingi ni nguzo muhimu ya kujenga mfumo wa afya unaostahimili changamoto, wenye usawa na endelevu, huku iki... Soma Zaidi
Mkurugenzi wa Idara ya Dharura na Maafa kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Erasto Sylvanus, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha utayari wa kukabiliana na dharura za afya kuanzia ngazi ya jamii na mam... Soma Zaidi
Na Atley Kuni, WAF - Morogoro Serikali imezitaka mamlaka za miji, wataalamu, sekta binafsi na wananchi kuongeza juhudi katika usafi wa mazingira na udhibiti wa taka, baada ... Soma Zaidi
Na Shaban Juma, WAF – Arusha Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, kwa niaba ya Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amekabidhi vifaa vya usaidizi wa usikivu kwa watoto 15 wal... Soma Zaidi
Na Hassan Kimweri, WAF – Arusha Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi katika kuboresha huduma za afya nchini ikiwem... Soma Zaidi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kuimarisha ufadhili wa sekta ya afya na kuhakikisha wananchi wote wanapata huduma bora ... Soma Zaidi
Na Andrea Kadege, WAF – Arusha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali imeendelea kuongeza uwekezaji katika sekta ya afya, ikiwemo ujenzi ... Soma Zaidi
Na Aisha Swahibu, WAF - Arusha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwingulu Nchemba amesisitiza umuhimu wa kuongeza uwekezaji katika sekta ya afya ili kuhakikisha w... Soma Zaidi
Na. Aisha Swahibu, WAF - Arusha Afrika imehimizwa kuongeza uwekezaji katika huduma za afya ya msingi ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma sahihi, mahali sahihi na kwa wakati sahihi,... Soma Zaidi
Na Aisha Swahibu, WAF - Arusha Afrika imetakiwa kuongeza uwekezaji wa huduma za afya ya msingi ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma sahihi, mahali sahihi na kwa wakati sahihi, kabla... Soma Zaidi