Na WAF, DODOMA Wizara ya Afya imetwaa Tuzo ya Wizara Mtambuka kwa kushika nafasi ya Tatu katika Maonesho Kimataifa ya Nane Nane 2024 Jijini Dodoma. Tuz... Soma Zaidi
Habari
Na WAF - DODOMA Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ameitaka Hospitali ya Kanda ya Kati ya Benjamini Mkapa kuendelea kuboresha zaidi hali ya utoaji na... Soma Zaidi
-Matunda ya kampeni ya Madaktari bingwa wa Rais Samia Na WAF - Dar Es Salaam Kampeni ya Madatari Bingwa wa Rais Samia iliyofika kwenye Hospitali zote... Soma Zaidi
Addis Ababa - Ethiopia Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Agosti 8, 2024 ameongoza kikao cha Kamati Mahususi ya Kitaalamu ya Mawaziri wanachama wa Umoja wa Afrika (AU)... Soma Zaidi
Na WAF – Dodoma Waajiri katika sekta rasmi na zisizo rasmi wamehimizwa kuwawekea mazingira rafiki wanawake wenye watoto ili waweze kunyonyesha watoto wao katika... Soma Zaidi
Na WAF - Dar Es Salaam Zoezi la utoaji wa huduma za kibingwa kwenye Hospitali 184 ngazi ya Halmashauri kupitia mpango kabambe wa "Madaktari bingwa wa Dkt.... Soma Zaidi
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendelea kuboresha huduma za afya kwa ku... Soma Zaidi
WAZAZI WAMSHUKURU MHE. RAIS, WATOA HUDUMA, VYOMBO VYA HABARI NA WATANZANIA WOTE Mtoto Maliki Hashimu, mkazi wa Goba Jijini Dar es Salaam, aliyekuwa akitibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili ... Soma Zaidi
. Na WAF - Dodoma Wananchi kutoka maeneo mbalimbali wanaotembelea banda la Wizara ya Afya katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji Kitaifa (Nanenane ) Mkoani Dodoma, w... Soma Zaidi
Na WAF - Morogoro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kwa k... Soma Zaidi