Na. WAF - Songwe Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa zaidi ya watoto laki Nne wanatarajia kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio katika Mkoa wa Songwe. ... Soma Zaidi
Habari
Na WAF- DSM Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imetoa wito kwa Serikali kuendelea kuweka kipaumbele katika utekelezaji wa afua mbalimbali za lishe nchin... Soma Zaidi
Na Shaban Juma, Rukwa Mkuu wa wilaya ya Kalambo Lazaro Komba amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la utoaji wa chanjo kwa watoto chini ya miaka 8 ili kujikinga dh... Soma Zaidi
Na. WAF - Songwe Halmashauri ya Wilaya ya Songwe watapatiwa magari Matatu ya kubebea wagonjwa (Ambulance) ili kusaidia kutoa huduma za dharura na rufaa za matibabu na kupunguza m... Soma Zaidi
Na Waf - DSM. Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo ametoa wito kwa mamlaka ya dawa na vifaa tiba nchini (TMDA) kuendel... Soma Zaidi
Wataalamu wa Magonjwa ya Saratani nchini wametakiwa kujikita katika kufanya tafiti za kisayansi zitazowezesha nchi kuwa na teknolojia na ubunifu utakaosaidia utoaji wa huduma hususani za sar... Soma Zaidi
Na WAF – DODOMA Katibu Mkuu wa Wizara ya afya Dkt. John Jingu amewataka wataalam wa afya kuandaa mpango mkakati madhubuti utakaokua ni muongozo katika kutoa huduma za afya nchini... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imewahakikishia huduma bora za Kiasfya kwa wafanya kazi wa mradi wa Bomba la mafuta Ghafi la Afrika Mashariki linalotoka nchini U... Soma Zaidi
Na. WAF Dodoma Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu amesema katika kuendeleza mikakati ya kutoa chanjo dhidi ya Polio, wizara imeunda timu ya watoa huduma 5,291 waliopata m... Soma Zaidi
Na WAF, Bungeni Dodoma. Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Bima ya afya kwa wote itakuwa suluhu ya kudumu kwa wananchi wote ikiwemo watoto wasio na wazazi na ... Soma Zaidi