Na. WAF, Mtwara Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu leo tarehe 13/9/2023 ametembelea Hopsitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula na kukagua miradi ya jengo jipya la upasu... Soma Zaidi
Habari
Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe ukamilike ndani ya miezi Sita hasa jengo la mama na mtoto, jengo la wagonjwa wa dharura (EMD) na jengo la wagonjwa wanaohitaji uangalizi wa kar... Soma Zaidi
Na. WAF - Songwe Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewapongeza viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma kwa kuajiri watumishi wa Afya wa mkataba kwa kutumia mapato ya ndani. ... Soma Zaidi
Na. WAF - Songwe Serikali itaendelea kuajiri watumishi wa Afya nchini kwa kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatoa kibali cha kuajiri watumishi wapya katika Sekta ya Afya ... Soma Zaidi
Na. WAF - Songwe Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa zaidi ya watoto laki Nne wanatarajia kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio katika Mkoa wa Songwe. ... Soma Zaidi
Na WAF- DSM Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imetoa wito kwa Serikali kuendelea kuweka kipaumbele katika utekelezaji wa afua mbalimbali za lishe nchin... Soma Zaidi
Na Shaban Juma, Rukwa Mkuu wa wilaya ya Kalambo Lazaro Komba amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la utoaji wa chanjo kwa watoto chini ya miaka 8 ili kujikinga dh... Soma Zaidi
Na. WAF - Songwe Halmashauri ya Wilaya ya Songwe watapatiwa magari Matatu ya kubebea wagonjwa (Ambulance) ili kusaidia kutoa huduma za dharura na rufaa za matibabu na kupunguza m... Soma Zaidi
Na Waf - DSM. Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo ametoa wito kwa mamlaka ya dawa na vifaa tiba nchini (TMDA) kuendel... Soma Zaidi
Wataalamu wa Magonjwa ya Saratani nchini wametakiwa kujikita katika kufanya tafiti za kisayansi zitazowezesha nchi kuwa na teknolojia na ubunifu utakaosaidia utoaji wa huduma hususani za sar... Soma Zaidi