Taasisi ya tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepokea madaktari bingwa wa mifupa na ubongo kutoka Jamhuri ya Watu wa China wakaohudumu kwa kipindi cha miaka miwili ikiwa ni muendelezo... Soma Zaidi
Habari
Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali Watu, Wizara ya Afya Bw. Danny Temba amewataka watumishi sekta ya Afya kuendelea kufuata miongozo na sheria za Kiutumishi iliyowekwa na Serikali kupit... Soma Zaidi
Jumla ya wanawake 228 wa Mkoa wa Manyara wilaya ya Hanang wameadhimisha Siku ya Kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya uchung... Soma Zaidi
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri, kushirikiana na Vituo vyote vya kutolea huduma za Afya nchini kuhakikisha wanafanya uchunguzi wa U... Soma Zaidi
Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya Ukoma dunia Serikali kupita Wizara ya Afya imetoa elimu juu ya kuthibiti ugonjwa wa Ukoma kwa Waandishi wa Habari. Elimu hiyo imetolewa ... Soma Zaidi
NA: WAF, Mwanza Watendaji wa kata na mwenyeviti wa mitaa wametakiwa kusimamia usafi katika maeneo yao ili kuendelea kuudhibiti ugonjwa wa Kipindupindu nchini. Kauli hiyo imetolewa na M... Soma Zaidi
NA: WAF, Dar Es Salaam SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeongeza kasi ya kutoa elimu na dawakinga kwa jamii ili kuyatokomeza magonjwa yasiyopewa kipaumbele ifikapo 2030. Yameele... Soma Zaidi
NA: WAF, Mwanza Watumishi Sekta ya Afya wametakiwa kuhakikisha wanasimamia vyema sheria ndogondogo za serikali za mitaa katika kukabiliana na Ugonjwa wa Kipindupindu ili kuhakikisha afy... Soma Zaidi
NA; WAF, Shinyanga. Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu amewataka wananchi kuchukua tahadhari kwa kufanya usafi na kuzingatia matumizi sahihi ya vyoo Pamoja na kunywa maji saf... Soma Zaidi
Serikali kupitia Wizara ya Afya imefanya mabadiliko ya kiuongozi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo ikiwa na lengo la kuhakikisha inaendelea kuboresha huduma na kuongeza ... Soma Zaidi