Na WAF, Dodoma Wizara ya Afya imepanga kutekeleza vipaumbele 10 kwa kutumia afua 86 zinazokadiriwa kutumia kiasi cha shilingi 1,311,837,466,000 kwa mwaka ujao w... Soma Zaidi
Habari
Na WAF, DODOMA Serikali kupitia Wizara ya Afya imewapa jukumu wadau wa usafirishaji wakiwepo madereva Bodaboda na Madereva wa Mabasi kuwa vinara wa kudhib... Soma Zaidi
Na WAF, Iringa Muitikio wa wananchi kufuata huduma za madaktari bingwa wa Rais Samia umekuwa mkubwa kuliko ilivyotarajiwa, huku idadi kubwa ya wananchi wakijito... Soma Zaidi
Na WAF - Morogoro. Wagonjwa zaidi ya 3000 wamepatiwa Matibabu kupitia kambi ya madaktari bingwa na ubingwa bobezi wa Rais Samia iliyopo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mor... Soma Zaidi
Na WAF, DODOMA Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk John Jingu amewataka wanataaluma wa Kada ya afya nchini kujenga tabia ya kutafuta maarifa map... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amepiga marufuku kwa watendaji wa Wizara ya Afya na wadau wake kutowauzia Wajawazito vitabu vya kliniki huku akimuagiza Katibu M... Soma Zaidi
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kuanza kutekelezwa kwa Bima ya Afya kwa wote itakuwa suluhisho la kudumu la kurahisisha upatikanaji wa huduma za Afya kwa makundi yote nchini ik... Soma Zaidi
Kibaha, Pwani Mkoa wa Iringa umeibuka kidedea kwa ushindi wa jumla wa usafi na uhifadhi wa mazingira ambapo umezawadiwa gari aina ya Land Cruiser. Akitangaza washindi wa usaf... Soma Zaidi
Na WAF - Kibaha, Pwani Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Phillip Mpango ameziagiza Wizara ya Afya na OR-TAMISEMI kuziwezesha idara za Afya kuanzia ngazi ya Ha... Soma Zaidi
Na WAF - NAMTUMBO/TUNDURU. Mpangilio wa utoaji wa huduma za kibingwa na Ubingwa bobezi wa Madaktari bingwa wa Dkt. Samia katika Hospitali za Halmashauri 184 ikiwemo Halmashauri ya... Soma Zaidi