Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini. Kauli hiyo imebainishwa na Mgan... Soma Zaidi
Habari
Sekta binafsi, wasindikaji, wasambazaji na wauzaji wa maziwa mbadala na vyakula vya watoto wameagizwa kuepuka matangazo ya bidhaa zao ili kuzingatia sheria na kanuni ya kudhibiti uuzaj... Soma Zaidi
Na.Catherine Sungura,Ikungi Asilimia 97 ya watoto wanaozaliwa hunyonyeshwa maziwa ya mama, ikiwa asilimia 92 ya watoto hunyonyeshwa kwa kipindi cha mwaka mmoja na kuendelea. ... Soma Zaidi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za umma na za binafsi zishirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi ili kuokoa maisha ya wanawake na kue... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Ugonjwa wa homa ya Mgunda (Leptospirosis) ambao ulithibitishwa kimaabara nchini Julai 18, 2022 na kutolewa taarifa kwa umma kuwepo kwa ugonjwa huo u... Soma Zaidi
Na WAF - MOROGORO. Wizara ya Afya kupitia Baraza la Tiba asili na Tiba mbadala kuanza kuwasaka na kuwachukulia hatua za Kisheria Waganga wa tiba asili na tiba mbadala wanaotoa huduma kw... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim, WAF - MWANZA Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kulingana na jumla ya idadi ya Vitongoji na Mitaa nchini, inatarajia kuwa na Wahudumu wa afya ngazi ya jamii 68,6... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na Kituo cha Kudhibiti Magonjwa kutoka M... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Kituo cha mafunzo kwa njia ya mtandao kwa Watumishi wa Afya ambacho kitasaidia kukabiliana dhidi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa UVIKO-19 kimezinduliwa... Soma Zaidi
Na. WAF - Mtwara Watumishi wa Hospital ya Rufaa Kanda ya Kusini Mtwara kujengewa nyumba 20 vya malazi pamoja na kununuliwa magari mawili (Coster) na Gari kwa ajili ya Mkurugenzi ili kuw... Soma Zaidi