Wataalamu wa afya waliohudhuria Mafunzo elekezi ya huduma za dharura ya uzazi na Watoto wachanga (EmONC) wametakiwa kuwezesha vituo vya afya kuona umuhimu matumizi bora ya vifaa na ... Soma Zaidi
Habari
Na. WAF, Hanang Serikali imesema Wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii wametoa elimu kwa Familia zaidi ya 760 juu ya kutumia dawa ya kutibu maji ili kuzuia Magonjwa y... Soma Zaidi
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeungana na wananchi wa Mji mdogo wa Katesh Wilayani Hanang, Mkoani Manyara na kupeleka msaada wa dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya TZS. 38 Mi... Soma Zaidi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi Mji mdogo wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara na Watanzania kwa ujumla kuendelea kuchukua... Soma Zaidi
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson ameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa uboreshaji wa huduma za afya nchini na kufanya majeruhi wote wa ... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amemshukuru Rais wa Jamuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusaini Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa wote. “Shukrani sana Mhe R... Soma Zaidi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameipongeza Wizara ya Afya kwa jitihada za kuongeza wataalamu wa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kwa... Soma Zaidi
Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Godwin Mollel akiongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam kutoka Wizara ya Afya... Soma Zaidi
Mwandishi wetu Dubai Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameshiriki katika kikao cha Mabadiliko ya tabia nchi na Afya ngazi ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi wanachama wa Shirika la Afya Dunian... Soma Zaidi
NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa wananchi kutowaficha watoto wenye changamoto ya Usonji (autism) kwani wakipata malezi na mafunzo mazuri watasaidia kuleta matokeo chan... Soma Zaidi