Na. WAF, Gaborone - Botswana Tanzania inajiandaa kufanya kampeni ya utoaji wa chanjo ya Polio Virus 2 (CVDPV2) katika Mikoa 6 inayopakana na nchi za Zambia na Burundi ambapo zoez... Soma Zaidi
Habari
Na. WAF, Gaborone - Botswana Tanzania kupitia Wizara ya Afya imewasilisha ombi kwa Waziri wa Afya wa Botswana Mhe Dkt. Edwin Dikolot la kusaidia nchi hiyo katika kuimarisha... Soma Zaidi
Na WAF, Gaborone - Botswana Tanzania imefanikiwa kukabiliana na kutokomeza Ugonjwa wa Marburg ambao ulitokea katika Mkoa wa Kagera ndani ya siku 78 tu Sababu kubwa zilizofanikish... Soma Zaidi
Na WAF, Gaborone - Botswana Tanzania yaunga mkono kuwa na mifumo himilivu ya Afya na hasa Afya ya msingi ambapo ni lazima kuwa na Bima ya Afya kwa wananchi ili kuwapa uwezo wa ku... Soma Zaidi
Na WAF Dar Es Salaam Kongamano la pili la Kisayansi la Tiba asili/Tiba Mbadala lenye washiriki zaidi ya 200 kutoka nchi nzima litatumika kubadilishana taarifa, kubadilishan... Soma Zaidi
Na WAF, Gaborone - Botswana Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Agosti 30, 2023 ameendelea kushiriki kikao cha 73 cha Mawaziri wa Afya wa nchi wanachama wa Shirika la Afya Dunia... Soma Zaidi
Na WAF, Gaborone - Botswana Nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika zimekubaliana kuboresha huduma za uchunguzi wa Magonjwa na Maabara ambapo TANZANIA ime... Soma Zaidi
Na WAF- Dom. Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa Wataalamu wa afya kulipa uzito unaostahili suala la lishe ili wananchi waone umuhimu wake katika kuchangia ma... Soma Zaidi
-Kikao cha 73 cha Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika. Gaborone – Botswana Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kuboresha Sekta ya Afya kwa kua... Soma Zaidi
Hospitali ya Taifa Muhimbili imefanya upasuaji mkubwa wa kuondoa bandama lenye shida kwa mgonjwa kwa njia ya matundu madogo (laparoscopic splenectomy). Upasuaji huu ni wa kwanza ... Soma Zaidi