Na WAF - Kilimanjaro Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameitaka bodi mpya ya Hospitali Maalum ya Taifa ya Magonjwa ambukizi Kibong'oto kufanya kazi kwa haraka ili kuendana na kasi ya ... Soma Zaidi
Habari
NA WAF SERIKALI kupitia Wizara ya Afya itaendelea kutekeleza mkakati wake wa kuimarisha huduma za dharura nje ya hospitali kwa kushirikiana na wadau binafsi. Hayo yamebainishwa na ... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Tanzania na Japan zimetia saini hati ya Makubaliano (MoU) ya utekelezaji miradi ya huduma za Afya lengo likiwa kuboresha huduma hizo na kuhuisha ushirikiano kwa kipindi ... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma Waganga Wakuu wa mikoa tisa na Waratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma wa mikoa wameonesha utayari wao wa shughuli za uibuaji wa wagonjwa wa kifua kikuu kwenye mapango harakishi... Soma Zaidi
Na WAF - Same, Kilimanjaro Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha Shilingi Milioni 600 ili kuipandisha hadhi Zahanati ya Suji iliyopo kijiji cha Malindi Wilaya ya Same mkoan... Soma Zaidi
Na WAF - Rombo, Kilimanjaro Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ametekeleza kwa vitendo maagizo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ya ujenz... Soma Zaidi
Na WAF, SHINYANGA Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais TAMISEMI, wameanzisha kampeni ya ugawaji wa vyandarua vyenye dawa bure kwa kila kaya,ili kupambana na ugonjwa wa malar... Soma Zaidi
Katika jitihada za kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu nchini Tanzania ifikapo 2030, Serikali imegawa mashine mpya 185 zenye thamani ya Shilingi Bilioni 7 kwa ajili ya uchunguzi n... Soma Zaidi
Na WAF - Bukoba, Kagera Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekabidhi vitendea kazi kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii vyenye thamani ya Shilingi Milioni 674.3 kwa mikoa Saba ambay... Soma Zaidi
Na WAF - Uyui, Tabora Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewataka wananchi wa kijiji cha Simbodamalu kilichopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Uyui Mkoani Tabora kuitumia zahanati y... Soma Zaidi