Na WAF - DOM Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya imelenga kufikia asilimia 70% ya watu waliochanja ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Dunia ... Soma Zaidi
Habari
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa kiasi cha Bilioni 4.4 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kutolea Huduma za Radiolojia, jengo la kufua hewa ya oksijeni pamoja na uboreshaji wa hu... Soma Zaidi
Wadau wa Mfuko wa Afya wa pamoja nchini (Health Basket Fund) wamepanga kuchangia kiasi cha shilingi Bilioni 98.1 kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini kwa mwaka 2022/2023. ... Soma Zaidi
Kutoka Dodoma, Juni 17, 2022. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Juni 17,2022 amekutana na kufanya mazungumzo na mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa upande wa wanawak... Soma Zaidi
Tanzania haijafikia lengo la ukusanyaji wa damu salama kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani linalopendekeza nchi kukusanywa idadi ya chupa za damu ambazo ni sawa na asilimia 1 ya idadi ya w... Soma Zaidi
Balozi wa Cuba nchini Bw. Yordenis Despaigne leo ametembelea Wizara ya Afya kwa lengo la kujitambulisha na kufanya mazungumzo na Mhe. Waziri. Balozi huyo amekutana na Naibu Waziri Dkt. Godwi... Soma Zaidi
Kutoka Paris,Ufaransa Taasisi ya Suzan Thompson Buffet Foundation (STBF) yenye Makao Makuu yake nchini Marekani imekubali kutoa msaada wa dola za Kimarekeni milioni 15 sawa na shilingi ... Soma Zaidi
Na WAF – Bungeni, Dodoma. Licha ya matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza kuwa na gharama kubwa na yana hitaji tiba wakati wote, Serikali imekuwa ikitoa msamaha wa matibabu kwa wagonjwa wana... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Ummy,leo tarehe 6 Juni, 2022 amewasili katika Jiji la Paris , Ufaransa kuhudhuria kikao cha Jumuia ya Wafadhili wa Huduma za Afya ya Mama na Mtoto (Global Financing Facility -... Soma Zaidi
NA WAF - DOM Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa miezi miezi miwili kwa TMDA kushirikiana na Tume ya madawa ya kulevya nchini kufanya utafiti wa shisha kuwekwa madaw... Soma Zaidi