Juhudi za pamoja na Ubunifu baina ya Serikali na Sekta mtambuka zinahitajika ili kutokomeza Ugonjwa wa Malaria na Magonjwa yasiyopewa kipaumbele ifikapo mwaka 2030. Hayo yamesemwa leo na ... Soma Zaidi
Habari
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo Juni 23 2022 wamepitisha kwa kishindo mapendekezo ya Bima ya Afya kwa wote nchini. Wajumbe hao wamepitisha mapendekezo hayo kwenye semina ... Soma Zaidi
Na WAF - DOM Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya imelenga kufikia asilimia 70% ya watu waliochanja ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Dunia ... Soma Zaidi
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa kiasi cha Bilioni 4.4 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kutolea Huduma za Radiolojia, jengo la kufua hewa ya oksijeni pamoja na uboreshaji wa hu... Soma Zaidi
Wadau wa Mfuko wa Afya wa pamoja nchini (Health Basket Fund) wamepanga kuchangia kiasi cha shilingi Bilioni 98.1 kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini kwa mwaka 2022/2023. ... Soma Zaidi
Kutoka Dodoma, Juni 17, 2022. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Juni 17,2022 amekutana na kufanya mazungumzo na mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa upande wa wanawak... Soma Zaidi
Tanzania haijafikia lengo la ukusanyaji wa damu salama kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani linalopendekeza nchi kukusanywa idadi ya chupa za damu ambazo ni sawa na asilimia 1 ya idadi ya w... Soma Zaidi
Balozi wa Cuba nchini Bw. Yordenis Despaigne leo ametembelea Wizara ya Afya kwa lengo la kujitambulisha na kufanya mazungumzo na Mhe. Waziri. Balozi huyo amekutana na Naibu Waziri Dkt. Godwi... Soma Zaidi
Kutoka Paris,Ufaransa Taasisi ya Suzan Thompson Buffet Foundation (STBF) yenye Makao Makuu yake nchini Marekani imekubali kutoa msaada wa dola za Kimarekeni milioni 15 sawa na shilingi ... Soma Zaidi
Na WAF – Bungeni, Dodoma. Licha ya matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza kuwa na gharama kubwa na yana hitaji tiba wakati wote, Serikali imekuwa ikitoa msamaha wa matibabu kwa wagonjwa wana... Soma Zaidi