Naibu Waziri wa Afya, Mheshimiwa Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola ambao umeripotiwa hivi karibuni katika Nchi jirani ya Uganda. ... Soma Zaidi

Naibu Waziri wa Afya, Mheshimiwa Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola ambao umeripotiwa hivi karibuni katika Nchi jirani ya Uganda. ... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Afya pamoja na wadau wa Sekta ya Afya wamepanga kuendelea kushirikiana katika kuboresha Sera ya Lishe na kutekeleza afua za lishe nchini. ... Soma Zaidi
Na.Catherine Sungura, WAF - KAGERA. Waganga Wakuu wa Wilaya pamoja na Waratibu wa Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko wametakiwa kujidhatiti katika kukabiliana na tishio la Ugonjwa wa Eb... Soma Zaidi
Na. Catherine Sungura, WAF - KAGERA. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee kuchukua tahadhari za kuj... Soma Zaidi
Na. Hassan Kimweri, WAF - Kagera Waandishi wa Habari mkoani Kagera wameshauriwa kutoa taarifa sahihi juu ya ugonjwa wa Ebola ambao umekuwa tishio na kuuwa watu nchini Uganda. Kauli... Soma Zaidi
VIFAA TIBA KUPELEKWA KITUO CHA AFYA CHA KABYAILE Na.Catherine Sungura,WAF-Misenyi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameagiza kupelekwa kwa vifaa tiba ikiwemo mashine ya usingizi na ... Soma Zaidi
Na. Catherine Sungura, WAF-Kagera Serikali inatarajia kujenga kituo maalumu cha matibabu ya magonjwa ya milipuko Mkoani Kagera. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy ... Soma Zaidi
Na. Catherine Sungura, Morogoro Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itakua bega kwa bega na waganga wa Tiba Asili ... Soma Zaidi
Na WAF- MWANZA WIZARA ya Afya kupitia Idara ya tiba imetoa mafunzo ya kuboresha utoaji huduma kwa Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa zote nchini ikiwa ni sehemu ya m... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuhakikisha upatikanaji na ugawaji wa kingatiba zinapatikana na kuzigawa katika jamii kwenye maeneo yaliyo athir... Soma Zaidi