Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi na Naibu Waziri wa Afya wa Uturuki Dkt. Tolga Tolunary wamekutana na kufanya mazungumzo ya namna ya kuanza mara moja utekelezaji wa Mkataba wa ma... Soma Zaidi
Habari
WIZARA ya Afya imemfutia deni la milioni 9 mwanafunzi Lightnes Shurima ambalo alikua akidaiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kutokana na matibabu ya Marehemu Baba yake a... Soma Zaidi
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi Leo tarehe 7 Agosti, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Watanzania wanaosoma na kufanya kazi nchini Uturuki wakiwemo madaktari. Katik... Soma Zaidi
Na.Englibert Kayombo WAF – Mbeya. Kukamilika kwa jengo la kutolea huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya kutaongeza idadi ya wakina mama wajawazito wanaofika ... Soma Zaidi
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amewatia moyo watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kwa kuwataka kufanya kazi kwa kutumia kanzi data ili kuleta ufanisi katika ufat... Soma Zaidi
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe ameupongeza Uongozi wa Hospitali ya Misheni ya Haydom iliyoko Mkoani Manyara kwa kazi nzuri wanayofanya katika kuwahudumia wanachi na kuwataka k... Soma Zaidi
Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini. Kauli hiyo imebainishwa na Mgan... Soma Zaidi
Sekta binafsi, wasindikaji, wasambazaji na wauzaji wa maziwa mbadala na vyakula vya watoto wameagizwa kuepuka matangazo ya bidhaa zao ili kuzingatia sheria na kanuni ya kudhibiti uuzaj... Soma Zaidi
Na.Catherine Sungura,Ikungi Asilimia 97 ya watoto wanaozaliwa hunyonyeshwa maziwa ya mama, ikiwa asilimia 92 ya watoto hunyonyeshwa kwa kipindi cha mwaka mmoja na kuendelea. ... Soma Zaidi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za umma na za binafsi zishirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi ili kuokoa maisha ya wanawake na kue... Soma Zaidi