Na WAF, DODOMA Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, ameliambia Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Afya kugeukia na kuboresha kipengele cha ubora wa huduma kwa wananchi ili azma ya Serikal... Soma Zaidi
Habari
Na. WAF - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imeanza kuchukua hatua madhubuti ili kuongeza nguvu katika uboreshaji na upatikanaji wa huduma za Utengamao kwa watoto wenye Usonj... Soma Zaidi
Wataalamu katika Idara ya ENT ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) wamefanikiwa kuitoa sarafu iliyokuwa imekwama kwenye koo la mtoto mdogo kwa siku sita. Daktari Bingwa wa Masikio... Soma Zaidi
Mkurugenzi wa huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais -TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amemuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kuivunja Timu ya uendeshaji wa huduma za Afya ya... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya Mwisho wa Mwezi wa Nne Mwaka 2024 kwa tar... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa kuanza kwa utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote itakuwa suluhu ya kudumu ya utekelezaji wa Sera ya wazee kupat... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea kuimarisha ubora wa huduma za Afya ya mama na mtoto katika vituo 25 vinavyotoa huduma ya upasuaji wa dharura wa ... Soma Zaidi
" Na WAF, DODOMA Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka waganga wafawidhi nchini na Watumishi ndani ya Sekta ya Afya kutokuwa kikwazo kwa wawekezaji wanaotaka kuwek... Soma Zaidi
Na: WAF, Shinyanga Mganga Mkuu wa Serikali Prof Tumaini Nagu amewahimiza watumishi sekta ya afya kuzingatia na kuweka kipaumbele cha usalama wa mgonjwa katika utoaji wa huduma na ... Soma Zaidi
Na WAF-DSM Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete amesema unyunyuziaji wa dawa kuuwa mazalia ya mbu, kutoa elimu kwa wananchi juu matumizi sahihi ya vyandarua pamo... Soma Zaidi