Na. Wizara ya Afya. Kutokana na ugonjwa wa Mpox kuripotiwa baadhi ya nchi, Wizara ya Afya kupitia Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma imeendelea kujizatiti katika kuchukua hatua za ... Soma Zaidi

Na. Wizara ya Afya. Kutokana na ugonjwa wa Mpox kuripotiwa baadhi ya nchi, Wizara ya Afya kupitia Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma imeendelea kujizatiti katika kuchukua hatua za ... Soma Zaidi
Na WAF, Songwe Naibu waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesisitiza umuhimu wa kuzingatia lishe na matumizi sahihi ya fedha za lishe ikiwa ni kuwafikia walengwa husika wanaostahil... Soma Zaidi
Na WAF – Mtwara Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Ndg. Abdillah Mfinanga ametoa agizo kwa wahudumu wa Afya Kanda ya Kusini kutoa taarifa zote za vifo vya mama na mtoto ikiwa ... Soma Zaidi
Na, WAF - Tunduma, Songwe Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameutaka uongozi wa mkoa wa Songwe katika mpaka wa Tunduma kuongeza nguvu katika rasilimali watu na vifaa kwa aj... Soma Zaidi
Na WAF - Tunduma, Songwe Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amewataka watumishi wa afya kushirikiana kwa karibu katika utoaji wa huduma za afya ili kuendelea kutoa huduma ... Soma Zaidi
Na WAF, Namanga- Arusha Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amewataka wataalamu wa Afya nchini kuongeza kasi ya kutoa elimu ya ugonjwa wa Mpox ili wananchi waw... Soma Zaidi
Na WAF - Meatu Wakazi wa Wilaya ya Meatu wametakiwa kuboresha hali ya usafi wa vyoo na ndani ya siku saba kuwe na vyoo bora ili kudhibiti ugonjwa wa kipindupindu. Wito huo... Soma Zaidi
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Afya na masuala ya UKIMWI Mhe. Elibariki Kingu ameishauri Wizara ya Afya kuendelea kuisimamia Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kwa kuipatia mtaji wa Bilioni 561.5 i... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia wagonjwa wa nje wanaofika kupata huduma kwa masa... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Afya na masuala ya UKIMWI Mhe. Elibariki Kingu ameiagiza Wizara ya Afya kuendelea kutoa elimu hasa kwa kundi la vijana rik... Soma Zaidi