Na. Catherine Sungura,Dar es salaam. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Julai 8, 2023 amemkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Inj. Hamad Masauni Magari matatu ya uokoaji yen... Soma Zaidi
Habari
Na WAF Kigoma. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango amesema Serikali imedhamiria kujenga hospitali ya Rufaa ya kanda ya Magharibi yenye hadhi sawa ... Soma Zaidi
Na. WAF - Arusha Watu 70 hufariki kila siku nchini Tanzania kutokana na Ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) na watu 25,800 hufariki kila mwaka kutokana na ugonjwa huo hapa nchini. Hayo yam... Soma Zaidi
Na WAF- Morogoro. NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewapongeza wachezaji wa kandanda Dickson Job pamoja na Kibwana Shomari wa Timu ya Yanga kwa kuendelea kuunga mkono jitihada z... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim, Dodoma Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, ambaye pia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Mama na Mtoto, Wizara ya Afya, Dkt. Ahmad Makuwani amelitaka Baraza la Famasi ... Soma Zaidi
Na. WAF- Dar es Salaam Mwenyekiti wa Baraza la Kutokomeza Malaria Tanzania, Leodigar Tenga ametoa wito kwa wajumbe wa baraza kuwa karibu na wadau wa maendeleo wa afya kwa ajili ya kutok... Soma Zaidi
NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Serikali imeongeza vituo vyenye vyumba maalumu kwa ajili ya kutoa huduma kwa watoto wachanga wenye umri kati ya sifuri mpaka mitano wenye hal... Soma Zaidi
Na WAF Dodoma Mwenyekiti wa bodi ya Maabara binafsi za Afya na Mkurugenzi wa huduma za Tiba Wizara ya Afya, Prof. Pascal Ruggajo amewataka waratibu wa mikoa wa maabara kuwasaidia wamili... Soma Zaidi
Na. WAF – Dar Es Salaam Baraza la Kutokomeza Malaria Tanzania limekaa kikao cha kwanza na kujadili mikakati madhubuti ya utekelezaji wa majukumu yake katika kutokomozea malaria ifikapo ... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim, WAF, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutumia f... Soma Zaidi