_Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amevielekeza Vituo Binafsi vilivyoingia mkataba na NHIF Kuzingatia masharti ya Mikataba yao. Waziri ya Wizara ya Afya Mhe. Ummy Mwalimu amevielekeza... Soma Zaidi
Habari
-Dawa ya jino sio kung’oa ni kutibu Na. WAF - Lindi Kwa juhudi kubwa zinazoendelea kufanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Afya ni pamoja na ununuzi wa Vifa... Soma Zaidi
Na. WAF - Lindi Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yamepungua katika Manispaa ya Mkoa wa Lindi kutoka asilimia 2 hadi asilimia 1.7 Mwaka 2023 ambayo imepelekea kufikia malengo ya 95-... Soma Zaidi
NA: WAF, Morogoro Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga, Bi. Ziada Sellah, ametoa wito kwa watumishi wa afya kuimarisha mawasiliano baina yao na wateja ili wananchi wanapata hu... Soma Zaidi
Mageuzi makubwa yaliyofanyika kwenye sekta ya Afya nchini kupitia Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yameivutia Serikali ya Jimbo la Kilifi kutoka Kenya a... Soma Zaidi
Na. WAF - Lindi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali, Vituo vya Huduma za Afya pamoja na Zahanati kufanya maoteo sahihi ya Dawa ili kuondoa upungufu wa dawa na kup... Soma Zaidi
Na WAF – DODOMA Serikali kupitia Wizara ya afya imeadhimia kuendelea kushirikiana na shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani USAID kwa mwaka 2024/25 kusaidiana kutimiza vipa... Soma Zaidi
Na. WAF - Lindi Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea na juhudi za kupunguza changamoto katika Sekta ya Afya zinazoendelea kujitokeza kutokana na ongezeko la idadi ya watu pa... Soma Zaidi
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma upasuaji wa kupandikiza betri kwenye moyo kwa watu watatu leo. Upandikizaji wa betri kwenye moyo ambao kitaalamu inaitwa _pacema... Soma Zaidi
Na. WAF - Lindi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezitaka Halmashauri ikiwemo ya Wilaya ya Kilwa kuajiri watumishi wa mikataba kwa kutumia mapato ya ndani ili kupunguza changamot... Soma Zaidi