Taasisi ya Saratani Ocean Road yaanza kutoa za Huduma za urekebishaji wa mfumo wa nyongo iliyoziba pasipo upasuaji ambapo mfumo huo unapoziba kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo saratani k... Soma Zaidi
Habari
Na Shaban Juma, Songwe Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Hellen Keller wamefanikiwa kuwatibu watu zaidi ya 200 katika huduma za mkoba za upasuaji wa mtoto wa jicho ik... Soma Zaidi
Na. Shabani Juma, Songwe Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa Hellen Keller wamejipanga kuendelea kuboresha huduma za afya ya macho kwa kusogeza karibu huduma za mko... Soma Zaidi
Serikali imesema itahakikisha gharama za usafishaji figo zinakuwa nafuu ili kuokoa maisha ya watanzania. Kauli hiyo imebainishwa na Waziri wa Afya, Mhe.Ummy Mwalimu wakati akitoa ufaf... Soma Zaidi
Wataalamu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya wanashiriki maonesho ya 95 ya kilimo cha biashara Lusaka Zambia ili kufikia azma ya kutangaza tiba utalii kwa nchi Wanachama wa Jumuiya ya M... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim,Dodoma SERIKALI imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 55.9 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili @taasisiyamifupa_moi kwa ajili ya kuboresha huduma za... Soma Zaidi
GENEVA, USWISI 03. 08.2023 Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Rasilimali Fedha wa Global Fund Bi. Ada Faye katika kikao kilichofanyika kwenye ... Soma Zaidi
Na WAF- DSM NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa Asasi ya TAHIA kutafakari juu ya kuwa na mfumo mmoja wa taarifa katika vituo vyote kuanzia ngazi ya Hospitali ya Taif... Soma Zaidi
Na. Catherine Sungura, Dar es Salaam Wajawazito nchini wametakiwa kukaa katika mazingira yasiyowaletea msongo wa mawazo katika kipindi chote cha ujauzito na unyonyeshaji ili kufanya maz... Soma Zaidi
TANZANIA KUANZISHA PROGRAMU JUMUISHI YA KUWATUMIA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII Tanzania inakusudia kuanzisha programu Jumuishi ya Kuwatumia Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii yen... Soma Zaidi