Na Rayson Mwaisemba WAF - DSM. NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa mamlaka na taasisi zinazosimamia bidhaa za afya ikiwemo Dawa, vifaa tiba pamoja na vi... Soma Zaidi
Habari
Na. Mwandishi Wetu, Tanga Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga Bombo, imefanikiwa kupunguza rufaa wa wagonjwa 100 hadi 15 kwa wiki mbili baada ya kuanza kutoa huduma za kibi... Soma Zaidi
Huduma za kibingwa na bobezi zimeleta matokeo chanya kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, kwa kufanya upasuaji wa kutoa saratani ya figo bila kuondoa figo nzima. Upasuaji huo u... Soma Zaidi
Mgonjwa aliyekuwa amelazwa wodi namba 6 “A” katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ametoa tuzo maalum ya kuwapongeza wahudumu wa wodi hiyo kwa huduma bora wanazotoa kwa w... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kujiimarisha katika utayari wa kukabiliana na Matukio ya dharura ya afya ya jamii, magonjwa ya mlipuko na Matukio... Soma Zaidi
Na. WAF, Tanga Wananchi zaidi ya 2,700 Mkoani Tanga na maeneo ya jirani wanufaika na kambi ya afya cheki kwa kupatiwa Huduma ya upimaji, ushauri wa afya na matibabu bila malipo ikiwa ni... Soma Zaidi
Na WAF - ZANZIBAR Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman amezindua Mpango wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto Tanzania wa miaka mi... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kujiimarisha katika utayari wa kukabiliana na Matukio ya dharura ya afya ya jamii, magonjwa ya mlipuko na Matukio... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema itaendelea kushirikiana na Shirika la USAID kutoka nchini Marekani kwa kutoa mafunzo ya uelewa kwa wahudumu wa afya ngazi ya msin... Soma Zaidi
Na E. Kayombo – WAF Tanga Wito umetolewa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kupima afya zao mara kwa mara ili kutambua hali zao kiafya mapema na kuepukana na maradhi ambayo yanaweza ku... Soma Zaidi