Na WAF, Lindi Kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awamu ya nne (4) imeanza rasmi mkoani Lindi, kwa kupokelewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Bi. Zuwena Omar... Soma Zaidi

Na WAF, Lindi Kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awamu ya nne (4) imeanza rasmi mkoani Lindi, kwa kupokelewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Bi. Zuwena Omar... Soma Zaidi
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Jabiri Omari Makame leo Septemba 15, 2025 amezindua rasmi huduma mkoba za Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia mkoani Songwe ikiwa ni juhudi za Serikali ya aw... Soma Zaidi
Na WAF, Mbeya Wananchi zaidi 2,500 wanatazamia kupatiwa huduma za kibingwa na ubingwa bobezi katika mkoa wa Mbeya kupitia kambi maalum ya Madaktari Bingwa wa Rais Dkt. Samia, ina... Soma Zaidi
NA WAF - DAR ES SALAAM Serikali ya Tanzania imepiga hatua katika uendelezaji wa huduma ya afya ya utengamao tofauti na hali ilivyokuwa miaka ya nyum... Soma Zaidi
Na WAF, Rufiji Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Bw.Simon Berege amesema Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii(CHW's) wamekuwa mkombozi wa huduma za afya kat... Soma Zaidi
Wizara ya Afya pamoja na wadau wa kisekta wako mkoani Morogoro kwenye kikao kazi cha siku tano kwa ajili ya kuboresha na kuuhisha taarifa kwenye mkakati wa mawasiliano utakaotumika katika uh... Soma Zaidi
Na WAF, Dar es Salaam Uongozi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road umesema kuwa umejipanga kuwa kitovu cha Tiba Utalii Afrika, na katika kufanikisha hilo umekutana na wadau wa... Soma Zaidi
NA WAF – DAR ES SALAAM Serikali imepanga kupanua idadi ya hospitali zinazotoa huduma bobezi za utengamao kwa kuanzisha hospitali maalum ya utengamao mkoani Tabora, ambayo itajumuisha pi... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Serikali inaendeleza juhudu zake za kuboresha huduma za afya kwa matumizi ya Akili Unde (IA) kuwekeza kwenye vifaa tiba vya kisasa vinavyosaidia kutoa huduma za haraka n... Soma Zaidi
NA WAF – DAR ES SALAAM Wataalam wa maabara nchini wametakiwa kusimamia kwa weledi eneo la kazi kwa kuhakikisha ubora wa huduma na matumizi sahihi ya rasilimali, ili kuboresha afya ya ja... Soma Zaidi