Wataalamu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya wanashiriki maonesho ya 95 ya kilimo cha biashara Lusaka Zambia ili kufikia azma ya kutangaza tiba utalii kwa nchi Wanachama wa Jumuiya ya M... Soma Zaidi
Habari
Na. Majid Abdulkarim,Dodoma SERIKALI imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 55.9 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili @taasisiyamifupa_moi kwa ajili ya kuboresha huduma za... Soma Zaidi
GENEVA, USWISI 03. 08.2023 Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Rasilimali Fedha wa Global Fund Bi. Ada Faye katika kikao kilichofanyika kwenye ... Soma Zaidi
Na WAF- DSM NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa Asasi ya TAHIA kutafakari juu ya kuwa na mfumo mmoja wa taarifa katika vituo vyote kuanzia ngazi ya Hospitali ya Taif... Soma Zaidi
Na. Catherine Sungura, Dar es Salaam Wajawazito nchini wametakiwa kukaa katika mazingira yasiyowaletea msongo wa mawazo katika kipindi chote cha ujauzito na unyonyeshaji ili kufanya maz... Soma Zaidi
TANZANIA KUANZISHA PROGRAMU JUMUISHI YA KUWATUMIA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII Tanzania inakusudia kuanzisha programu Jumuishi ya Kuwatumia Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii yen... Soma Zaidi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema serikali ya awamu ya sita ina dhamira ya dhati kuhakikisha huduma bora za afya zinasogezwa Jirani na wananch... Soma Zaidi
Na. Shaban Juma, Dodoma Serikali imetoa wito kwa wadau wa maendeleo nchini kushirikiana kwa karibu katika kuboresha huduma za afya ya macho ili kuzuia ulemavu wa kutokuona na upu... Soma Zaidi
Taasisi ya Global Health Foundation ya nchini India imejipanga kushirikiana na Tanzania katika mafunzo ya wataalam na utoaji wa huduma za afya kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Hayo yam... Soma Zaidi
Waziri wa afya Mhe. Ummy Mwalimu ameueleza uongozi wa Taasisi Nephroplus kuwekeza nchini ili kusaidia kupunguza gharama za kusafisha damu. Waziri Ummy amesema hayo wakati akihitimisha z... Soma Zaidi