Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam. Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedu... Soma Zaidi
Habari
Na WAF Dar Es Salaam. Wizara ya Afya kupitia Naibu Katibu Mkuu Dkt. Grace Magembe pamoja na wataalam wamekutana na Wadau wa Maendeleo wa Sekta ya Afya nchini na kujadili namna wanavyoweza... Soma Zaidi
Na. WAF, Kilimanjaro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Samia Suluhu Hassan amegawa magari 16 na Pikipiki 20 yakiwemo magari matatu ya kubebea wahi... Soma Zaidi
Mganga mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu amewata wananchi kuzingatia kanuni za afya kwa kuzingatia usafi na kupata chanjo ya UVIKO 19 kwa ukamilifu ili kujikinga na magon... Soma Zaidi
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo imezindua mtambo unaotumia hewa tiba yenye mgandamizo ya oksijeni (Hyperbaric Medicine Treatment) ambao unatibu magonjwa zaidi ya 10 na kuifanya Tan... Soma Zaidi
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni 97 katika taasisi ya Profesa Jay Foundation yenye le... Soma Zaidi
Wataalamu wa afya waliohudhuria Mafunzo elekezi ya huduma za dharura ya uzazi na Watoto wachanga (EmONC) wametakiwa kuwezesha vituo vya afya kuona umuhimu matumizi bora ya vifaa na ... Soma Zaidi
Na. WAF, Hanang Serikali imesema Wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii wametoa elimu kwa Familia zaidi ya 760 juu ya kutumia dawa ya kutibu maji ili kuzuia Magonjwa y... Soma Zaidi
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeungana na wananchi wa Mji mdogo wa Katesh Wilayani Hanang, Mkoani Manyara na kupeleka msaada wa dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya TZS. 38 Mi... Soma Zaidi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi Mji mdogo wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara na Watanzania kwa ujumla kuendelea kuchukua... Soma Zaidi